Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Umetisha sana mkuu hongera
 
Sema we jamaa genius sana unajua jinsi ya kucheza na akiri ya mtu na kutoa majibu ya haraka afu kwa usahihi pia inaonesha unajiamini sana, hongera sana
 
Mashallah, avatar yenyewe hapo juu tells it all , mrembo rangi ya mtume ,shavu shavu ,dodo hadi unapoteza network za watu😇. Niombe radhi kwa wote waliowahi kukuita me badala ya ke mwaya Nourhan.
Nimecheka 😂 sifa umepatia eti Gily Gru si kapita mle mle??
Apology accepted 😄

Labda lilivyoandikwa linawazingua ila linatamkwa Nuruhan
 
Atumie withdraw method ,mbona nipo ndoani muda njia yangu nawahi kutoa nikisikia utamu ukikaribia Kuja. Uko sahihi sio dunia ya kuzaa mno Mana mashamba hayapo siku hizi hata Kama yapo inabidi utumie mbolea na pembejeo ziko juu
Ndugu hio ndo imenipa watoto wa 4 🤣😂tunakubaliana vizuri mwisho anigeuka anakuambia kumwaga nje ni kama kupiga nyeto mke wa nini 🤣😂naamini calendar balaa uwe danger days na mtu hakuelewi katoa mahari yake anakuambia atatumia withdraw method kumbe muongo acha tu ndugu naogopa sana mimba watoto wa 4 wanitosha sana kwa afya yangu na maisha yenyewe yalivyo magumu haswa kusomesha.
 
Gily Gru Mundele Makusu
 
Nimecheka 😂 sifa umepatia eti Gily Gru si kapita mle mle??
Apology accepted 😄

Labda lilivyoandikwa linawazingua ila linatamkwa Nuruhan
Thanki yuuuuuuu. Insider man the second hapa💪. I am holding all apologies for whoever messed up huyu mrembo Nourhan hope wamesikia. 😀
 
Jibu ni tulikuwa wapenzi lakini tumepigana chini...🤔

Tatizo hajui Iryn ametoka taarifa gani Kwa Mama Janeth.

Uzuri INSIDER MAN Mara nyingi anakua na majibu yanayoacha utetezi huku akimwachia mhusika ajikaange mwenyewe. Kama umegundua amegoma kuthibitisha kabisa mahusiano yake na Iryn Kwa Sumaiya.

Huyu jamaa yetu anachonizidi ni ujasiri, anaanzaje kujitambulisha kwamba ni wapenzi na Iryn? Kwa Rafiki zake na hadi babaake Iryn? (Kuna balaa liliwahi nipata sitasahau maishani)

Pia kwanini aone Kuna mtu kamjaza ujinga Iryn kuhusu kusitishwa mkataba wa mahusiano wakati hakuna future na tayari Mama J ameshaanza kushtukia nyendo zake? Vyovyote itakavyokua Iryn alichokisema kipo sahihi iwe ni akili yake au ameambiwa na mtu mwingine japa hayo mawazo kuyatekeleza ni ngumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…