Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ndo maana wanaume wengi hawatak mabest zako waje om kwako[emoji16][emoji16][emoji119]
 
Ndo maana wanaume wengi hawatak mabest zako waje om kwako[emoji16][emoji16][emoji119]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waje ili awaone afu awaelewe afu waanze mambo yao jamani jamani mabest mnatutisha sana[emoji119][emoji119]
 

Kumbuka nyumba nimehama tayari, hatujui Kwanini kachukua maamuzi haya
 
Kumbuka nyumba nimehama tayari, hatujui Kwanini kachukua maamuzi haya

Licha ya kuchukua hayo maamuzi, kujizuia kuliwa na wewe sio jambo rahisi vinginevyo aende zake chuo.

Mkiwa karibu hataweza kabisa kujizuia, atakupiga mikwara, atafoka, atatoa mahubiri na nasaha zote za kuachana na wewe lakini mwisho wasiku atatoa mzigo. Akili inapingana na mwili kabisa. Upande unasema sio sahihi na mwingine unasema haina namna, tuliwe tu.
 
Kumbuka nyumba nimehama tayari, hatujui Kwanini kachukua maamuzi haya
Yule ungemuonyesha msimamo angejirudi tu.Manake Sababu za kukumwaga hazina mashiko sababu toka mwanzo yeye alijua wewe ni mume wa mtu.Au usiache kazi toka na mfanyakazi hapo waziwazi mwambie tusiingiliane kila mmoja aendelee na mambo yake.Mkiss Asmah mbele Yake ili aumie na yeye!
 
INSIDER MAN kasome Mithali 6:32

Ukisoma hiyo Mithali 6:32-35 inafikirisha sana. Inasema kuzini na mwanamke ni upumbavu kabisa, ni jambo la kuangamiza nafsi, aibu haitafutika milele.
Ikaongezea wivu wa Mme wa mwenye Mke ambavyo kisasi chake ni hatari.

Sitetei anachofanya Kapten hapa ila Iryn sio mke wa mtu japo Insider ni Mme wa mtu na anaweza kusema hajao Kwa vile hapakua na ndoa wakati huo.
 
Tunaomba utuelezee kisa chako kidogo Mkuu .....
 
Nakazia
 

Hapana mama Janeth sijawahi kumwambia kama na familia kufikia hapa EP.68, umechanganya mafile. Mama Janeth hajui kama na mke au mtoto labda awe aliambiwa na Iryn na sisi mpaka sasa hatujui kama anajua au laah,
 

Uwezo wako wa kufikiri upo vizuri
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama Mbwai iwe Mbwai ausioo,
 

Kuzini ni nini tuanzie hapa,
 
Tunaomba utuelezee kisa chako kidogo Mkuu .....

Ni mambo ya zamani na nilijifunza kitu kuanzia siku hiyo. Tulikua na urafiki na mtu baadae topic ikabadilika tukavuka mstari wa urafiki. Sasa ilikua tukienda baadhi ya ofisi pamoja akiwa na mambo yake watu wakawa wanajua sie tuna mahusiano. Sasa hata tulipokuja kuvuka mipaka tuliendelea na hayo mambo.

Kuna siku Baba yake Mzazi alikuja na ikabidi nikamchukue twende mahali Kuna mambo alikua nafuatilia na tukafanikisha tukapita sehem tukakaa na Mzee tukapata lunch na akanipenda sana. Ila aluambuwa tu huyu ni Rafiki yangu. Mzee hakuuliza mambo mengi sana ila najua alijiongeza kimyakimya.

Wakati huo nna familia kabisa.

Siwezi kuelezea zaidi ya hapo Kwa vile ilikua ni jambo la kuumiza hisia sana.

Uzuri alihamia mkoa mwingine na nasikia aliolewa na ana mtoto, wanaishi Kwa furaha na familia yake.

Kingine alikua akinitambulisha kama mpenzi wake akiwa na Rafiki zake, hapo ndio nikaona hapa nachezea moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…