Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kutembea na mke au mme wa rafiki yako n hatari sana, kuna mdada mmoja na mfahamu aligundua rafiki yake ana tembea na mmewe, alimfanyia tukio hilo!!

Kwanza alivunga kama hajui kitu, ikatokea kwake kukawa na sherehe marafiki zake wakaja kumsaidia kupika na huyo rafiki yake alikuwepo, akawa amebandika karai la mafuta kwenye moto ili achome maandazi, mafuta yakiwa teyar yameshapata moto, ghafla tu mdada aliinua lile karai akamwagia yale mafuta usoni wa rafiki yake mwaaa!

ingawa n miaka nane sasa imepita ila unaweza usimwangalie mara mbili usoni yule dada n huruma!!
 
Mimi siko kwenye ndoa sasa[emoji3],
Mfalme Daudi alizini na mke wa mtu sindio?

kwa kikakoliki kuzini ni kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ila ukifanya ukiwa ndani ya ndoa ni Uasherati

Ila ndugu yetu kidini hujamuoa mama J ila kimila ni mkeo lakin maandiko hayo hayo yanasema “lililofungwa duniani na mbinguni limefungwa” kwa macho ya kibinadamu sio mkeo wa ndoa ila kirohoni ni mkeo mana wewe mwenyew unakubali kuwa ni mkeo
 
Daah yaani Mioyo ya watu imebeba vitu viingi......na dunia ya leo kuna watu wa KILA namna ni kuomba neema ya Mungu ateupeshe na vikwazo maishani
 
Kitendo cha mama J na baba J kuwaacha Wazazi wao na kupewa baraka hivyo kuishi pamoja ni ndoa tayari.......tutaanza kuleta perception zingine ila ilo tunalifahamu vizuri tu......

Pia.....Ukiongelea kuzini ni kuengage mahusiano na mtu mwingine bila ridhaa ya wazazi au kanisa au kutambulika ......hivo uasherati n.k zinaingia humo humo na nyundo ya nyongeza ni ile "Usitamani mwanamke asie mke wako " .....Hatuhitaji macho yoyote hapa mama J ni mke pure wa insider man
 
Atakuwa na uhakika gani kwamba ndo mimi? Unakuta hata mimi na wewe ni majirani ila hatutambuani hii ndo JF[emoji3]
Kwa huu mtirirko wa visa yaan kuwe na mtu naye kapita umoumo sio kweli mzee, yaan hapo una dakwa asubuh na mapema
 

Kwa Prisca mlikuwa kimya ila kwa Iryn haya yameanza kutokea why?[emoji3]
 
Kwa Prisca mlikuwa kimya ila kwa Iryn haya yameanza kutokea why?[emoji3]
Binadamu hakosi neno.....ukifanikiwa yumo ukifeli yumo mfano tu jana Chelsea alisemwa vibaya Sana ooh anakufa mapema kaongoza 2 . watu kimyah baada ya sare ndoo fans wakapata hata la kusema ......Ni life skills tu zinatufanya tuishi 😂😂
 
Yeahh mwamba umeamua kutupa epsod ndefu yeah huna baya hata
 
Mimi siko kwenye ndoa sasa[emoji3],
Mfalme Daudi alizini na mke wa mtu sindio?

Tena akamuua na Mme wake baada ya kumsakizia aende Kwa Mke wake ionekani ni mimba yake.

Wewe kuoa au kutokuoa inategemea unaongelea Kwa mtizamo upi au unatafsiri ndoa Kwa mrengo upi.

Hata hivyo kilichotokea kwako unachotuhadithia hapa ni maisha ya wanaume wengi tu.

Usitunyime ubwabwa siku unahalalisha ndoa kiongozi.
 
nimekumiss aisee.
 
huyo aliemwagie mwenzie ni katili Sana
 
INSIDER MAN kasome Mithali 6:32
Mithali 6:

28. Je! Mtu aweza kukanyaga makaa ya moto, Na nyayo zake zisiungue?

29. Ndivyo alivyo aingiaye kwa mke wa jirani yake; Kila mtu amgusaye huyo atakuwa na hatia.

30. Watu hawamdharau mwivi, Akiiba ili kujishibisha, iwapo aona njaa;

31. Lakini akipatikana, atalipa mara saba; Atatoa mali yote ya nyumba yake.

32. Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

33. Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala fedheha yake haitafutika.

34. Maana wivu ni ghadhabu ya mtu; Wala hatahurumia siku ya kujilipiza kisasi.

35. Hatakubali ukombozi uwao wote; Wala hatakuwa radhi, ujapomlipa vitu vingi.
 
Ujasiri mwingine ni wa kumkandamiza Iryn ofisini kwenye kochi. Hapa itabidi @Watu8 akuongezee nyota ya pili.

Mwamba alikuwa anapambana na papuchi kila mahali, kwenye balcon, ndani ya swimming pool, kuna mahali kachakata papuchi kwa kidole akiwa club, kaichakata zenji, dodoma, kochi la ofisini, na alishapanga papuchi ikienda kwa Madiba ataiibukia kuichakata...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…