Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Bora wewe umewahi hta kumuona huyu maana Iryn mwenyewe anatuchnganya maana picha zake humu zimetpiwa za kutosha na wadau ni km kinyonga mara mnene,mwembamba, mweupe ,maji ya kunde yani ili mradiHuyu Claire mbona kama ni lgbtq
Usikute wanakoboana na Iryn
Anamuonea wivu Insider
Mkuu pole sana mkuu this is so painfull kwa kweli.Oohhh pole mkuu pole sana Mungu atakupa mwingine, I know the pain I also lost my son last year October kama hii and was my first born. Usijali tushukuru kwa kila jambo and let's move on ninaamini yajayo yanafurahisha.
Amin 🙏🙏🙏Kazi ya maulana,
Haijawahi kuwa ya makosa,
Kikubwa ni kumuombea,
Lakini pia kujiandaa,
Maana kifo ni safari yetu sote.
Huyu jamaa yetu anachonizidi ni ujasiri, anaanzaje kujitambulisha kwamba ni wapenzi na Iryn? Kwa Rafiki zake na hadi babaake Iryn? (Kuna balaa liliwahi nipata sitasahau maishani)
Asante mkuuPole sana [emoji120]
Asante sana 🙏Pole sana, Mungu atakupa mwingine kwa wakati wake
Hahaha wapi hyo?Nimeamua kula vitu vya insider manView attachment 2789623
Nimeamua kula vitu vya insider manView attachment 2789623
Santoo kwa tag mkuuu ndio natia maguu saii niliishia episode 66 nadhani!!!!
Miss you too mkuu let's enjoy the storee!nimekumiss aisee.
Wadau wanabet tu hakuna anayemjua personalBora wewe umewahi hta kumuona huyu maana Iryn mwenyewe anatuchnganya maana picha zake humu zimetpiwa za kutosha na wadau ni km kinyonga mara mnene,mwembamba, mweupe ,maji ya kunde yani ili mradi
Wabheja sana mkuu ndo naingiaa! Wacha nitulie nisome vizuriii naona imeenda kinoumaaa!!
Santoo sana bestieeee ndio nimeingiaa hapaaaa acha nikomae nazo hizi episode 2 astee asteeee ntazimaliza!!Antonnia ,JITU BANDIA ,Nuhu39 ,Missy Gf ,Nourhan ,Lovelovie,DR SANTOS ,Mama Edina
Episode nzito iliyoshiba ya 67 iko on air welcome and enjoy
Asante sana, pole pia mkuuMkuu pole sana mkuu this is so painfull kwa kweli.