Binafsi Nimeumia sana hio sehemu!Mmemaliza kulana halafu mnakwenda kumu enjoy mamaJ, ati vipi na kazi wakati mnanuka uzinifu hapo🤣🤣🤣
Umerudi na hasira za Mama J kwenye uzii wetu tupumzishe Tumekosa"Anyway nitafound out soon naona kuna sehemu unatumika ila kwangu kama unajilazimisha.”
Doubt breaks negativity and negativity breaks the trust and once trust is broken it will never be the same! !
inawezekanaWadau wanabet tu hakuna anayemjua personal
Ila huyu Claire aliyeenda kuishi naye na hv ni watoto wa kishua hawashindwi kuwa wanakoboana
@Antonnia umeumia sana Kwa mama j,naona comment zako mfululizo....itakuwa umewai kupigwa tukio.kama ya mama j...sio Kwa maumivi unaloonyesha hivi."When You Have Everything? What could you possibly desire?."
Just Long life and amani ya moyooo bas!
Hivi ndio vitu ambavyo huwezi vinunua kwa pesa wala madaraka !
Kwa hiyo unataka kusema penzi la insider jamaa kapambana na vibopa, kashinda now inabidi aanze kulipigania kwa wana LGBT tena....? Kweli hapa duniani ni kazi kazi kupumnzika ni mbinguni na mbinguni nako kuna kazi tena ya kuimba nonstop.....sa sijui itakuajeWadau wanabet tu hakuna anayemjua personal
Ila huyu Claire aliyeenda kuishi naye na hv ni watoto wa kishua hawashindwi kuwa wanakoboana
Mbona kawaida sanaaKwa hiyo unataka kusema penzi la insider jamaa kapambana na vibopa, kashinda now inabidi aanze kulipigania kwa wana LGBT tena....? Kweli hapa duniani ni kazi kazi kupumnzika ni mbinguni na mbinguni nako kuna kazi tena ya kuimba nonstop.....sa sijui itakuaje
Ngoja tuone ila me nimepata red flag hapo Iryn alipohamia kwa ClaireKwa hiyo unataka kusema penzi la insider jamaa kapambana na vibopa, kashinda now inabidi aanze kulipigania kwa wana LGBT tena....? Kweli hapa duniani ni kazi kazi kupumnzika ni mbinguni na mbinguni nako kuna kazi tena ya kuimba nonstop.....sa sijui itakuaje
Hizo red flags zina make sense. Maana how come muda wote huo alikua katulia kwake ila from no where mtu anaanza kwenda kulala huko by the name of upwekeNgoja tuone ila me nimepata red flag hapo Iryn alipohamia kwa Claire