hana msimamo ni kahaba wa kiume tu njaa mbayNi sawa but usiuze utu wako kisa pesa/ madaraka!
Mtu mmetoka mbali mmehasoo mmepambana leo hii unamuigizia na mchepuko wako kweli???? Mmeshafanyana hukoo hamjaridhika hadi ujinga unapeleka kwa mkeo???? Hamjakatazwa muendelee mambo yenu huko ila sio nyumbani kwako kiukweli!
Hapo Insider alikosea sana pamoja na misimamo yake hapo alifeli sana!
Ni sawa but usiuze utu wako kisa pesa/ madaraka!
Mtu mmetoka mbali mmehasoo mmepambana leo hii unamuigizia na mchepuko wako kweli???? Mmeshafanyana hukoo hamjaridhika hadi ujinga unapeleka kwa mkeo???? Hamjakatazwa muendelee mambo yenu huko ila sio nyumbani kwako kiukweli!
Hapo Insider alikosea sana pamoja na misimamo yake hapo alifeli sana!
Mke aheshimiwe na watu wote mkuu! Usimfananishe mke na mchepuko urembo haufanyi mtu kuwa mke kama ni mrembo mbona hajaolewa anaswampa tu na kung'ang'ania mume wa mtu????
Fanyeni mambo yenu hukoo ila sio mbele za wake zenu jamani!
Iryn namkubali sana ila hapo ameniumiza sana!
Uzi una views Million 3 comment elfu 10 [emoji847] INSIDER MAN toa kitabu kitauza sana [emoji120]
Hahahahahaa mkuu umekasirika mno yaani. Ila kwa hapo hata mimi nimeshangaa sana halafu insider nae sijamwelewa kakubali kulala nje kisa mchepuko tena mke ambae hakuwepo nyumbani kwa muda .....dem sengerema sana hili we unaliwa kando unataka kuwa kina sijampenda shes cheap whore af still anataka kwenda kwako kusalimia bla bla nawewe insaida njaa zitakuua mtoto wa kiume mpk unasahau familia sasa ngoja mke akuache uone venye utaokota makopo sipendi mianaume ya bei rahisi isio na msimamo inanunulika na kupelekeshwa mazafanta na hii fiction siendelei tena kusoma
Unatuonyesha vibuno unaficha sura lengo lako nini una sura ya baba niniWadau wanabet tu hakuna anayemjua personal
Ila huyu Claire aliyeenda kuishi naye na hv ni watoto wa kishua hawashindwi kuwa wanakoboana
em kanye west huko wewe unaejua kuandika mbona umemalizia na mkato badala ya nukta yani washamba mnakuaga wajuaji kafe huko mazafantus
hana msimamo, hajiamini yani anaona yeye kwake ni cheo sana kuwa na uyo malaysia ndo mana anasema et alimuheshimisha sana kwa babake like ho yan, pia ni mshamba hana exposure ukute uyo demu ni uzuri wa kawaida tu ila yeye hajawai kuwa na mdada mzuri ndo mana anapelekeshwa na anamuogopa na kumnyenyekea hana kibesi hes a weak gamerHahahahahaa mkuu umekasirika mno yaani. Ila kwa hapo hata mimi nimeshangaa sana halafu insider nae sijamwelewa kakubali kulala nje kisa mchepuko tena mke ambae hakuwepo nyumbani kwa muda .....
Iryn hajui maana ya kuwa mchepuko especially ukiwa unadate na mume wa mtu!
Itabidi awe anahudhuria vikao[emoji1783]- 1.Hakuna kumpigia wala kumtumia sms hasa za mahaba kama yeye hajakuanza au kukupa ishara yoyote ya kuwa saii yupo free to talk/ chat
2. Akikuhitaji yeye kwa muda wake atakutafuta
3. Usimbane kiasi cha kumfanya ajute kukufahamu na kumkosesha uhuru binafsi[emoji851][emoji2212][emoji2212][emoji2212]
4.
5.
6.
Anyway ujana una mengiiii!
I second you mke na aheshimiwe, humu wengi wanamuona Irene kama ni special sana kisa amesifiwa urembo na ana hela so wanatanguliza njaa mbele. Kama ni mrembo basi apate mume wake aolewe aache kuchepuka na waume za watu kina Griz na Insider.Mke aheshimiwe na watu wote mkuu! Usimfananishe mke na mchepuko urembo haufanyi mtu kuwa mke kama ni mrembo mbona hajaolewa anaswampa tu na kung'ang'ania mume wa mtu????
Fanyeni mambo yenu hukoo ila sio mbele za wake zenu jamani!
Iryn namkubali sana ila hapo ameniumiza sana!
ushanitamani hivo mpk unahis mimi ni mwanaume peleka laana zako mbele michezo hyo sina mtot wa kiume fanya kazi acha kutamani wanaume utapoteza large intestineInasikitisha kuona mwanaume kumwonea wivu mwanaume mwenzio, utapakwa nazi shauri yako.
Hahahahahaa mkuu umekasirika mno yaani. Ila kwa hapo hata mimi nimeshangaa sana halafu insider nae sijamwelewa kakubali kulala nje kisa mchepuko tena mke ambae hakuwepo nyumbani kwa muda .....
Acha kukuza mambo Mkuu hii ni story tu na kila mtu anatoa maoni/ mawazo yake!Insider hajaoa bado lakini, acheni makasiriko Mwanaume aliyekamilika kuchepuka ni 22/7. Wewe hujawai chepuka?
Na ndicho kilicho muuma kuona Jamaa yuko Humble kwa wife wake, Family first
Amuoe basi huyo Irene kama hana hamu na mke wake si mnamsifia kamba bado hajaoa. Ahalalishe amuoe ndio ujue kwamba utamu bila akili utaishia kuliwa na kuwa mchepuko wa kudumu tuu. Huyu insider ni tamaa, njaa na ushamba wa kuonekana anamiliki pisi kali ndio unamsumbua ila hakuna mapenzi hapo.Wanaume sometimes tuna maamuzi magumu sana, hata ningekua mimi ningelala na Iryn. Ameshakwambia hata hamu ya kusex na mke wake hana chezea utamu wa Iryn [emoji23][emoji23][emoji23]
ushanitamani hivo mpk unahis mimi ni mwanaume peleka laana zako mbele michezo hyo sina mtot wa kiume fanya kazi acha kutamani wanaume utapoteza large intestine
Ukisikia watu wanauana sijui kurogana sababu ndio kama hizi sasa ! mambo ya kushea utamu na kukosa mioyo ya kustahimili maumivuu 🤠!Wanaume sometimes tuna maamuzi magumu sana, hata ningekua mimi ningelala na Iryn. Ameshakwambia hata hamu ya kusex na mke wake hana chezea utamu wa Iryn [emoji23][emoji23][emoji23]
Amuoe basi huyo Irene kama hana hamu na mke wake si mnamsifia kamba bado hajaoa. Ahalalishe amuoe ndio ujue kwamba utamu bila akili utaishia kuliwa na kuwa mchepuko wa kudumu tuu. Huyu insider ni tamaa, njaa na ushamba wa kuonekana anamiliki pisi kali ndio unamsumbua ila hakuna mapenzi hapo.
Ukisikia watu wanauana sijui kurogana sababu ndio kama hizi sasa ! mambo ya kushea utamu[emoji1783]!
Afu ukute mwanaume alikua anajua kukaza usikie tamu yako imepenya na kwa naninani sijui [emoji3526]!
Kwa wivu wangu huuu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji851][emoji851][emoji851]!