Litro
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 1,080
- 2,248
hana msimamo ni kahaba wa kiume tu njaa mbayNi sawa but usiuze utu wako kisa pesa/ madaraka!
Mtu mmetoka mbali mmehasoo mmepambana leo hii unamuigizia na mchepuko wako kweli???? Mmeshafanyana hukoo hamjaridhika hadi ujinga unapeleka kwa mkeo???? Hamjakatazwa muendelee mambo yenu huko ila sio nyumbani kwako kiukweli!
Hapo Insider alikosea sana pamoja na misimamo yake hapo alifeli sana!