Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jamaa naomba unijibu kwanini unatembea na nguo unabadilisha kwenye gari ilhali we we ni mme wa mtu na kila siku unagombana nae.

Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app

Hakuna nilikosema natembea na nguo kwenye gari ila ile siku ambayo nilikwenda kwa Iryn ndo nilitembea na nguo kwenye gari za kubadilika, sababu nilijua tutatoka Out.

Siku za weekend nilikua nina tembea na sando kwenye gari, huwezi kuwa na viatu siku nzima mpaka usiku, pia sijawai kubadilishia nguo kwenye gari.

Nikiwa mme wa mtu siruhusiwi kubadilika kwenye gari?, hivi una fahamu kuna Uber ambao gari ndo makazi yake yaani anakopark ndo analala haphapo. Kuoga anakwenda kulipia, mambo ya kufua kuna watu wanafua nknk.
 
Vipi team Mpwayungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…