"Hapa ndo nikajua kumbe nilikua nimewekewa mtego kama ningekua natabia za kifisi kama wale wazee wa kula Kimasihara bhasi kibarua kingeota nyasi."
Hapo team
rikiboy ishakuweka katika namna ya kukupa maua yako yani wapo kikaoni lkn lengo kuu bado ngoja waendelee kukutazama vizuri kuliko mwanzo.
Team
DeepPond badae watakuja kusema neno kuhusu prisca kama ingefaa kuwa mchepuko au ulizingua
Watu wa kiroho wanajua kabisa ulivyo mla iryn ndy mwisho wa kupata pesa mana ni jaribu lazima ufunge zipo hata kama mna vesha mkiwa wote.
Ngoja nimtag huyu kamanda hapa mana simuoni.
Analyse