Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Great 💪🏽
 
Ahsante sana kiongozi. Nipo huku Nyanda za juu ntakua na muda wa kutosha kupitia hii story japo Kuna swahiba wangu anapitia kipindi kigumu lakini naamini Mwenyezi Mungu atamfanyia wepesi...Kila kitu kutakua sawa.

Dah!

Mungu ampe wepesi, sisi wana wa adamu tunaishi kwenye dunia iliyojaa dhiki na tabu nyingi lakini ashukuriwe Mungu wa mbinguni mwenye wingi wa fadhili na mwenye kutukirimia wema na rehema zake...
 
Dah!

Mungu ampe wepesi, sisi wana wa adamu tunaishi kwenye dunia iliyojaa dhiki na tabu nyingi lakini ashukuriwe Mungu wa mbinguni mwenye wingi wa fadhili na mwenye kutukirimia wema na rehema zake...

Amen kubwa kaka.
Acha nitembee na simulizi kidogokidogo.

Shukrani sana Kwa maombi Yako.

Naamini Kila kitu kitamuendea sawa huyu mwenzangu huko aliko.
 
Daaaaah nimekuwa niisubiri weekend kwa hamu
Umetisha insider
 
Duh, haiishi utamu, hongera Sana man
 
Mapicha yako unayotuma kuna mtu anakuzuia humu ndani?

Katika member wanaoongoza kuchat kwenye huu uzi namba moja ni wewe, au wewe ni shem wetu kwa INSIDER MAN ?
Nachati na Nani wew mavi wewe , nimechati na Nani ? kutwa nzima kutuma tuma vmsg vyako jinga Sana Kama huna wateja Soma magazeti wew
 
Last episode Please 🤗🤗🤗Kesho tumalize nyonyo zipoe.japo mwisho nishausoma kwa hapa ulipofikia.
 
Aiseh si mchezo episode ya leo mkuu, umetulia sana stori nzuri umepangailia vema, na tunaendelea kujifunza zaidi.
Ila all in all mkuu Insider umebarikiwa kitu inaitwa kibali ya kukutana na watu wenye pesa that is favor of popular. That is why we see you have chain that consist lots of rich peoples.
 
Bahati ambazo anakutana nazo huyu jamaa Insider ni vitu ambavyo sio kila mtu anaweza kuwa navyo, ni nadra sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…