Yeah ni kweli Kabisa japo nyie wanaume inaonekana mmezidi☺️!Hii Iko pande zote! Mmoja akiwa na mambo meusi meusi lazima mwingine nafsi inakua inampa hali ya kuashiria Kuna kitu hakipo sawa. Amani inatoweka bila kujua sababu ni kitu Gani na hisia za mapenzi zinapungua kabisa hata kama hakuna ushahidi.
Ila nimependa sana INSIDER MAN alivyojibu mashambulizi ya "voice note" kashusha makombora ya scud mfululizo.
Kuna sehemu alisema huyo mtu ataonana na mama Janet n.k but ukute alisema ataenda ofisi nyingine kutuzuga tu tusiunganishe dots but nahisi kabisa hilda is from Jf Kutokana naile announcement ya job opportunity humu!Lakini yule si alipelekwa na Mama Janeth? Itakua ndio ule mchakato ulioanzia hapa JF kweli?
Na inaonekana alikua apelekee ofisi nyingine ila maamuzi yakabadilika.
Pia Insider alisema huyo mtu hatakua kwenye ofisi hizi. Ni project tofauti kabisa ( huenda ikawa akili za uzee nimesahau mambo mengine)
Uhenga hatari sana
Yeah ni kweli Kabisa japo nyie wanaume inaonekana mmezidi☺️!
Iryn pia nimefurahi amejisimamia kwa manufaa ya familia ya mwanamke mwenzie!!
Mke/ mume wa mtu tena ambae yuko close na familia yake alooo🙌🙌🙌🙌🙌!
Forever and always!Nakuona timu ma'J
Forever and always!
I feel the her kwakweli usiombe mume akose hisia na wewe kama mkewe its a psychological torture!
Once a cheater always a cheater!Hawa wakionana hautaamini kitakachotokea...haya mambo magumu sana.
Usiombe mwanamke apoteze hisia nawewe au aamue kukuignore kihisia aseee haturudigi nyuma kirahisi no matter what!Sema nanyie mkiamua kujibu mapigo huwa hambahatishi. Mnapiga kwenye center of gravity
The END ana kibendi.what is the end of the story?
Unaweza kuwa mshindi wa kuonana na mimi Live na ukachagua kumuona mhusika uliye mpenda[emoji41]
Umezaa na Iryn mtoto wa kike na anaitwa.......what is the end of the story?
Unaweza kuwa mshindi wa kuonana na mimi Live na ukachagua kumuona mhusika uliye mpenda[emoji41]
Nipo huku Nyakibimbirii mkuu ! Nilikua offline!!Upo wapi? Chungulia PM kuna bingo
Kabisa yani!Mimi pia nampenda Irene lakini sikubaliani na anachomfanyia mama J
Amen dearSantoo sana mamy afadhali alipunguza arosto! Hii nyongeza nilikua sijaiona ngoja niisome!
Be blessed!
Hilda popote ulipo helloowww 🖐️🖐️🖐️🖐️!
Hilda ni memba wa jf kwa lile tangazo alotoa humu Insaida 🤠!
Just guessing!
Mi mwenyewe nimekomazwa na JF, maana watu wana madongo na mademu kishenzi, imenifanya namimi niwe na madongo.Jf ndio baba lao zoote....huku mtu unajifunza mambo mengi sana na Kuna watu wanashauri correct sanaa aiseee....Mimi nimeacha kupigwa Ni Vitu vizito kwenye sekta ya Mapenzi sababu ya Jf
Lol Kumbe! Basi nilielewa tofauti!Hapana, soma vizuri ya kwamba aliajiriwa kupitia Mama mzungu na hata usahili alifanyiwa na Sumaiya...
Hapana chezea "Mama J wangu!" weehAmen dear
Daah na mimi hapo sikuelews kabisaa hata alivyoenda kuzika tena kwa confidence km ni mke rasmi.Labda km mzee Pama na mkewe wali divorce.Mie nilikuwa just curious kufahamu hivi inawezekana KUWEKA MSIBA KWA MCHEPUKO tena na MA-TENT juu !? au it was Certified Mchepuko wa Mzee Pama.