Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ni shida tu na umasikin ndio huwa unaleta chuki miongon mwa wake wenza ila mahala pesa ilipo kila mtu anakua satisfied hamna muda wa kwaza kugombania vijiko na vikombe au chaga za vitanda kwenye urithi
 
Huyo dogo hajamuoa mama J ila kazaa naye tu.

So mama J si mke wa huyo dogo, muwe mnasoma vizuri kabla ya kumpachika heshima ya 'mke' mama J.

Insider man hadi sasa hajaoa.
Kila mahali mama J amekuwa branded km mke hivi kuzaa na mtu na kutoa mahari ndo kashakuwa mke?
 

Kama umesoma vzr EP 45 + Extra Ep bhasi majibu yako wazi kabisa maybe uwe umesoma juujuu. Mzee kabla ya kufa alitaka wake zake wadogo wote wawepo msibani.

Mzee aliandika waraka/wosia namna ambavyo mali zigawiwe kwa wote japo Mrs Pama ndo alipata percent kubwa kwenye mgao, na alisema anawatambua wale michepuko kama wake zake wadogo sababu amezaa nao.

Jane na Pama walianza mahusiano yao muda mrefu sana, na Mzee alikuwa anampenda sana Jane tuseme walipendana.

Hata nyumba hakumjengea sababu ya kupata mimba ya mtoto wa kiume, alijenga nyumba ya Jane kwasababu ya mapenzi aliyokuwa nayo kwa Jane.

Jane alikuwa anajulikana mpaka kwa Familia ya Pama na alikuwa anaongea na mama yake Pama kupitia simu, nimeandika haya mambo ukipitia vzr hio EP.

Ukiunganisha hizo dot vizuri utaweza kujua ni nini kilikuwa kinaendelea kati ya hawa watu wawili.

Siwezi andika kila kitu.
 
Kila mahali mama J amekuwa branded km mke hivi kuzaa na mtu na kutoa mahari ndo kashakuwa mke?

Sheria ya Ndoa inasema ukiishi ndani na mwanamke au kukawa na ushahidi unaonesha nyinyi ni kama mke na mume, bhasi sheria inawatambua nyinyi ni wanandoa halali.

Kutoa mahari, kuzaa na mwanamke na bado unaishi naye ndani huyu ni mke wako halali hata kama hamjafunga ndoa au hamna cheti cha ndoa.

Kisheria mpaka sasa Mama J ni mke wangu halali na ikitokea tumeachana tunagawana mali 50-50.
 
Ndoa ya nadharia inaitwa ndoa ni 3 za kidini kimila serikali hayo ya kuishi kweli anapata mali ila kwa uthibitisho kweli alikuwa anaishi na wewe ana mchango kwenye mali ka hujaoa embu miowe mtoto wa watu ndo ni Ile takatifu.
 
Sawa
sawa mwendelezo lini mkuu tujue mapema
 
Na kwa kuongezea hata kuachana talaka lazima itoke mahakamani na sio kwa maneno tu
 
Hiii kweli hujasahau...naona kombora limegeukia chumbani kwake hii muda wowote kijana wetu analipuka labda asiwepo pale
 
Kwa asili ya sisi binadamu hapa kijana wetu yupo kwenye chumba cha mabomu panya akipita tu kijana wetu kwisha [emoji16][emoji16][emoji16] hata iwaje sina imani na watu wa jf
 
Kwa asili ya sisi binadamu hapa kijana wetu yupo kwenye chumba cha mabomu panya akipita tu kijana wetu kwisha [emoji16][emoji16][emoji16] hata iwaje sina imani na watu wa jf

Msiogope ni mwakajana hio mwakahuu ni post nyingine tofauti na hii kwa story.
 
Hapana tangazo limetoka mwaka huu na uhusika wa Hilda hi 2022. Hii story bado ipo 2022
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…