Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hii hapa
 
69 Hii hapa Wildlifer
 
Sema maguire bwana, huo muda unabishana na watu kuhusu uhalali wa mama j kama mke wako si ungeshaleta episode ya mwisho humu tumalize hii biashara? Au unapenda kuona watu wanakutag na kukumention humu wakati wote, lol!
 
Mwanangu maguire kakukosea nn [emoji23][emoji23]
 
Ndugu INSIDER MAN Mimi mwanao wa faida naomba napasie hiyo pisi ya kitanga Asma nizeeke nayo, Kwa sifa ulizozitaja kwake huyo ni mambo yangu kabisa umepita mule mule, utanikatili kama hukunipasia hiyo pisi I swear. Fanya mambo nimikiki pisi ya kitanga Mimi japo sio muajemi wa kukupa maokoto lkn unaweza kuwa Na rafiki wa faida
 
[emoji16][emoji16][emoji16]people watu wa humu usiombe wapate vi details vyako utajuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…