Haya ni makasiriko na wivu utakufa kihoro.Hivi kwanini kila anayempa hela insider lazima aiweke kwenye bahasha hizi bahasha wanazitoaga wapi?
Ulitaka nisijitoleze. INSIDER MAN anawadanganya tu. Hana lolote lile.
Yani mpaka IRYN wa Insider keshapakana. Nakumbuka na ile story ya yule jamaa wa South Africa na demu wake Khumbu🤣🤣🤣🤣
Hivi kwanini kila anayempa hela insider lazima aiweke kwenye bahasha hizi bahasha wanazitoaga wapi?
Maana mzee Pama,mama Janeth ,Jane ,iryn muda wote lazima waingie ndani watoe hela wampe insider kwenye bahasha haiwezi kuwa chini ya millionSisi matajiri watoa hela huwa hatukosi bahasha za kuwawekea hela wenye uhitaji...
Uzi unataka kwisha vibaya naona watu wameshafungua id kujifanya ni Irine na anajibu mapigo kwa insider.Mkuu Insider maliza hiyo ili tusiendelee kuvurugana.Heee mara hii irine keshajitokeza[emoji38]
Maana mzee Pama,mama Janeth ,Jane ,iryn muda wote lazima waingie ndani watoe hela wampe insider kwenye bahasha haiwezi kuwa chini ya million
Sasa ivi pia watu wanajenga picha ya IRYN ndio maana wengine mpaka wanafungua ID wakijiita kina IRYNWatu walijenga picha ya kishonde cha Khumbu namna jamaa alivyokuwa akimwelezea...
Mkuu hata Shigongo ana washabiki wakeHivi watu mmeshakuta nyama chini au bado??me nlishiaga episode ya tano tu..nakaona hapa ni Shigongo fuluu..hamna Cha true story Hapa
Maana mzee Pama,mama Janeth ,Jane ,iryn muda wote lazima waingie ndani watoe hela wampe insider kwenye bahasha haiwezi kuwa chini ya million
Iriny anenda SA. Insider Anaachishwa kazi na kuendelea na mipango yake ya kwenda kuongeza elimuwhat is the end of the story?
Unaweza kuwa mshindi wa kuonana na mimi Live na ukachagua kumuona mhusika uliye mpenda[emoji41]
Unauliza maswali ya watu ku 'predict' the end ili utwist story? Kumbuka heading inasema ni true story, naomba iishe ikiwa kwenye huo uhalisia.what is the end of the story?
Unaweza kuwa mshindi wa kuonana na mimi Live na ukachagua kumuona mhusika uliye mpenda[emoji41]
Unauliza maswali ya watu ku 'predict' the end ili utwist story? Kumbuka heading inasema ni true story, naomba iishe ikiwa kwenye huo uhalisia.
Mwisho wa Story utaacha kaziwhat is the end of the story?
Unaweza kuwa mshindi wa kuonana na mimi Live na ukachagua kumuona mhusika uliye mpenda[emoji41]
Chief story unamalizia lini???what is the end of the story?
Unaweza kuwa mshindi wa kuonana na mimi Live na ukachagua kumuona mhusika uliye mpenda[emoji41]
Chief story unamalizia lini???