NGERESHAA
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,240
- 1,680
Haya ni makasiriko na wivu utakufa kihoro.Hivi kwanini kila anayempa hela insider lazima aiweke kwenye bahasha hizi bahasha wanazitoaga wapi?
Aliyopewa na Iryn dola ilikuwa kwa bahasha na aliyorudishiwa na Mtoto wa Tanga akakataa.
Alafu ule ni ustarabu kwa walio starabika