Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Sasa Hapo ungemwambia Eva kuwa una maungumzo na bosi wako so akutafute baadae, wewe unamuachiaje nafasi Eva. Na huyo Eva ningemkata vibao baadae.
 
Hiyo bahasha ukifungua unafariki , hafu na wasomaji wako wote tutafariki
 
😳😳😳😳😳
 
Nahisi Iryn atakuachisha kazi, Lakini kabla ya kuondoka SA mtayajenga na mwisho atakupa mkataba mpya wa kazi ,mtakaa kikao watatu, Mama mlezi wa Iryn,Iryn na Inserderman.
then ataenda masomoni nawe utaanza utaratibu wako wa kuanza kusoma ,uhusiano wa Insarderman na Iryn utarudi ila siyo deep Sana kwani mtakubaliana kuwa sirus na kazi zaidi.
 
Ndugu mwandishi unavyoendelea kuwakuna wasomaji kwa utamu na jinsi unavyo waridhisha na kukata hamu zao wanafurahia sana

Wapo watakao kuja na kusema hii story isiishe iwe "endless story" ili tu utamu huu usiwatoke πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜†
 
Kijana wacha maneno halalisha ndoa hiyo mambo yasiwe mengi
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…