Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kumbuka huyo mzee pama huwezi jua network yake ya watu waliomzunguka. This is Tanzania bhana ukiwa unajuana na wakubwa mbona mambo mengine hutahangaika nayo.
 

Risk involved once caught, is foreifeture of all amount. With the security systems in place nowadays, it is not easy. Chance to escape un-caught is like 5%
 
Risk involved once caught, is foreifeture of all amount. With the security systems in place nowadays, it is not easy. Chance to escape un-caught is like 5%

One more thing; kama mpo familia say 3 mnasafiri pamoja, hela zenu wote watatu Mnazo ruhusiwa kubeba ni <$10,000
 
 
Kumbuka huyo mzee pama huwezi jua network yake ya watu waliomzunguka. This is Tanzania bhana ukiwa unajuana na wakubwa mbona mambo mengine hutahangaika nayo.

Unatembea nazo hawa watu sijui wanabisha nini wakati utaratibu ni kudeclare ila sasa wewe mtanzania kubeba million 50 ni mzigo kwanza na hizo pesa unazipeleka wapi?

Kwa dollar ni simple sana hata kuzicarry unaweza weka dollar $50k kwenye surual freshy kabisa.
 
Asipige hela kote huko ilikoanzia aje apige hela lini hiyo?
 
Asipige hela kote huko ilikoanzia aje apige hela lini hiyo?
Unauliza kitu gani sijui ? Kwani kupiga hela namaanisha katika sehemu ya mwisho ilibakia au ?

Kumbuka hadithi au story zipo nyingi na najua sisi kama binadamu hatukosi vya kuhadithi, so anaweza anzisha story ingine na akapiga hela vile vile kwani kuna tatizo hapo.
 
Hii story ndio ilikuwa ya kupiga hela angekuwa na nia au tamaa ya kupiga hela. Pale ilipokuwa epsode ya 30 huko nyuma tayari alishavuta watu wengi,huko ndio angekuwa na nia angeweza kuwaanzishia what'sup. Wangapi tumeona wanafanya hivyo?. Hata kama huko mbele ana story nyingine ya kutaka kupiga hela basi atakuwa ameacha hela nyingi nyuma ya hii story. Ksbb hata hii ndio ina wasomaji wengi.
 
INSIDER MAN hapa ndo tunaposema hii true story yako ni chai, mtu anasafiri toka abroad na € 150,000 cash na dhahabu na almas sijui, mkuu hyo kitu ni ngumu sana (simply haiwezekani/hairuhusiwi), alipitapitaja huko alikotoka na hela nyingi kiasi hicho, na kwa akili yako kweli unadhani hatujui kwamba mtu huwezi safiri na cash kubwa kiasi hcho, unatuona viazi siyo, basi poa
 
Binadamu bana.
 

Mkuu fatilia mambo kama hujui ndomana Airport kuna kila aina ya watu, nyie watu humu ndani ushamba unawasumbua sana. Unaruhusiwa kuingia na pesa yoyote unayojiskia wewe cha msingi ziwe na documents au source, kama unaingia na $200k bila kuwa na source ya income inayoeleweka hapa utaambiwa ni Money loundering.

Mzee Pama alikuwa anafanyia kazi kampuni ya madini bado yeye alikuwa anfanya biashara za madini kutembea na madini ni kitu cha kawaida kwa mfanyabiashara kama yeye. Unavyotembea na vitu kma hivi uwe na documents nje na hapo ni kosa.

Mjifunze mambo kabla ya kucoment mnatia aibu sana.
 

Huyu ni ndugu yangu yuko USA huwa anakuja dollar hapa bongo nilikuwa nachat nae, usipende kubisha kitu usichokijua. Airport wanapita watu wa kila aina wafanyabiashara, mabalozi, viongozi, makapuku kama sisi nknk.

Pesa inayoruhisiwa ni $10,000 hii huulizwi ila ikiwa zaidi ya hii unatakiwa kudeclare kwa kujaza form
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…