Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Sasa how come mtu asafiri na zaidi ya Millioni 400 kuingia Tanzania while kiwango ni 24M zaidi ya hapo utaonekana ni mtakatishaji fedha?? If ni special case let say alitoa taarifa kwa mamlaka husika bado unaweza sahau kiwango kama hicho kwenye uber?? Anyways i was thinking out the box [emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Kumbuka huyo mzee pama huwezi jua network yake ya watu waliomzunguka. This is Tanzania bhana ukiwa unajuana na wakubwa mbona mambo mengine hutahangaika nayo.
 
Mkuu hizo 400m ni sawa na €150k ambazo ukigawanya kwa €100 ni sawa na noti 1500 ambazo ukizipanga kwa bunda zenye noti 100 ni sawa na bunda 15, zinabebeka vizuri kabisa.

Pama alikuwa anafanya biashara kuwa na hiko kiasi ni kawaidasana, kwa TZS unaona ni pesa nyingi sana ila ukipeleka kwa Euro ni pesa ndogo sana.

Kusahau ni kawaida mzee inadepend na mtu yuko kwenye hali gani au uchovu kiasi gani, kwa mtu kama Pama unakuta hio ni pesa ya matumizi tu. Ukiangalia Pesa anazo kwake yeye haoni kama anapesa,

Kitu kingine ukiwa na mtu unayemwamini kujiachia ni kawaida sana huwezi kuwa na mawazo, unajikuta upo sehemu salama

Risk involved once caught, is foreifeture of all amount. With the security systems in place nowadays, it is not easy. Chance to escape un-caught is like 5%
 
Risk involved once caught, is foreifeture of all amount. With the security systems in place nowadays, it is not easy. Chance to escape un-caught is like 5%

One more thing; kama mpo familia say 3 mnasafiri pamoja, hela zenu wote watatu Mnazo ruhusiwa kubeba ni <$10,000
 
One more thing; kama mpo familia say 3 mnasafiri pamoja, hela zenu wote watatu Mnazo ruhusiwa kubeba ni QUOTE]

Mkuu acha ubishi labda hii kwa Tanzania ukiwa na amount above $10,000 una declare haina shida kabisa. Kwa Tanzania ukisema utembee na zaidi ya milioni 50 kwanza huko nje utaenda zitumia wapi?. Kwanza ni mzigo.

Bossy wangu anakuja na madollar kibao hapa bongo yeye ni foreigner na ndo CEO wetu. Kwa USD 100,000 ni Pesa chache sana ila sasa zipeleke kuwa Tshs zinakuwa nyingi sana huwezi tembea nazo.

Ukiwa na pesa zaidi ya $10,000 una declare haina shida. Kiasi ambacho kinaruhusiwa ni chini ya $10k lakini kama ni zaidi unadeclare haina shida, wanaosafiri ni wengi kuna wafanyabiashara na watu wenye status nknk.
 
Kumbuka huyo mzee pama huwezi jua network yake ya watu waliomzunguka. This is Tanzania bhana ukiwa unajuana na wakubwa mbona mambo mengine hutahangaika nayo.

Unatembea nazo hawa watu sijui wanabisha nini wakati utaratibu ni kudeclare ila sasa wewe mtanzania kubeba million 50 ni mzigo kwanza na hizo pesa unazipeleka wapi?

Kwa dollar ni simple sana hata kuzicarry unaweza weka dollar $50k kwenye surual freshy kabisa.
 
...na utayumba sana Bob, naona tunapoelekea Mtunzi anajipakulia minyama ya uaminifu 'eti Mzee amesahau begi lina Midola pamoja na vito, this can't be serious by anyhow...

fuentte kwa taarifa yako tukitoka hapo tunakupa Extra Episodes za kutosha sana ambazo ni:-

1. Mchepuko wa Pama ulivyojifungua Mtoto wa Kiume.

2.Halafu hujakaa sawa tunatupia nyingine jinsi Mzee Juma alivyolipa Ada ya Masters.

3.Kabla hujatulia tunarudi na Ka-episode ka Jinsi Irene alipokosea kuandika Barua, haikuwa ya Jamaa ila ilikuwa inaenda kwa Sumaiya maana amezidi kumfuata fuata Mwandishi.

4.Hujakaa sawa tunatupia Ka-episode ka Jinsi Nyumba ya Dodoma ilivyosumbua.

5.Tunamaliza na Episode ya mwisho Irene mjamzito, Sumaiya Mjamzito pamoja na Mama J mjamzito...

Unakuja Stukha hizo extra Episode zimetufikisha Dec 31...

KUJUA WHAT NEXT TUKUTANE SEASON 2....HAPO JANUARY 2024...

Nb. USHAURI KWA MTUNZI NI VYEMA ATENGENEZE WHATSAPP GROUP AANZE KUOKOTA MAOKOTO.
Asipige hela kote huko ilikoanzia aje apige hela lini hiyo?
 
Asipige hela kote huko ilikoanzia aje apige hela lini hiyo?
Unauliza kitu gani sijui ? Kwani kupiga hela namaanisha katika sehemu ya mwisho ilibakia au ?

Kumbuka hadithi au story zipo nyingi na najua sisi kama binadamu hatukosi vya kuhadithi, so anaweza anzisha story ingine na akapiga hela vile vile kwani kuna tatizo hapo.
 
Hii story ndio ilikuwa ya kupiga hela angekuwa na nia au tamaa ya kupiga hela. Pale ilipokuwa epsode ya 30 huko nyuma tayari alishavuta watu wengi,huko ndio angekuwa na nia angeweza kuwaanzishia what'sup. Wangapi tumeona wanafanya hivyo?. Hata kama huko mbele ana story nyingine ya kutaka kupiga hela basi atakuwa ameacha hela nyingi nyuma ya hii story. Ksbb hata hii ndio ina wasomaji wengi.
 
INSIDER MAN hapa ndo tunaposema hii true story yako ni chai, mtu anasafiri toka abroad na € 150,000 cash na dhahabu na almas sijui, mkuu hyo kitu ni ngumu sana (simply haiwezekani/hairuhusiwi), alipitapitaja huko alikotoka na hela nyingi kiasi hicho, na kwa akili yako kweli unadhani hatujui kwamba mtu huwezi safiri na cash kubwa kiasi hcho, unatuona viazi siyo, basi poa
 
Binadamu bana.

Mkuu fatilia mambo kama hujui ndomana Airport kuna kila aina ya watu, nyie watu humu ndani ushamba unawasumbua sana. Unaruhusiwa kuingia na pesa yoyote unayojiskia wewe cha msingi ziwe na documents au source, kama unaingia na $200k bila kuwa na source ya income inayoeleweka hapa utaambiwa ni Money loundering.

Mzee Pama alikuwa anafanyia kazi kampuni ya madini bado yeye alikuwa anfanya biashara za madini kutembea na madini ni kitu cha kawaida kwa mfanyabiashara kama yeye. Unavyotembea na vitu kma hivi uwe na documents nje na hapo ni kosa.

Mjifunze mambo kabla ya kucoment mnatia aibu sana.
 
INSIDER MAN hapa ndo tunaposema hii true story yako ni chai, mtu anasafiri toka abroad na € 150,000 cash na dhahabu na almas sijui, mkuu hyo kitu ni ngumu sana (simply haiwezekani/hairuhusiwi), alipitapitaja huko alikotoka na hela nyingi kiasi hicho, na kwa akili yako kweli unadhani hatujui kwamba mtu huwezi safiri na cash kubwa kiasi hcho, unatuona viazi siyo, basi poa

Huyu ni ndugu yangu yuko USA huwa anakuja dollar hapa bongo nilikuwa nachat nae, usipende kubisha kitu usichokijua. Airport wanapita watu wa kila aina wafanyabiashara, mabalozi, viongozi, makapuku kama sisi nknk.

Pesa inayoruhisiwa ni $10,000 hii huulizwi ila ikiwa zaidi ya hii unatakiwa kudeclare kwa kujaza form
 
Back
Top Bottom