1. Pale upokua unakanusha kuhusu suala la iryn kukubali abebe ujauzito na wakati anaenda chuo kusoma huku hamuelewi mustakabali wenu! Memba fulani simkumbuki alipokuambia kuhusu hilo ni kama uling'aka kana kwamba ni kitu ambacho kwa muda huo hakiwezekani!
Kweli umetu surprise asee watu tulitarajia ile bahasha ni ya wewe kuwa fired ! Na ndo kwaherii lol!You know nilikuwa nam challenge jamaa na sikutaka watu wajue mwisho utakuwaje, na mmekuwa suprised. [emoji23]
Yeah kumbe Uko makini sana kufatilia hii story!Stori ilikuwa inaendelea, asingeweza kukubali maana ingeondoa uhondo na mtiririko wa vitu alivyopanga aandike...
Yeah kumbe Uko makini sana kufatilia hii story!
Nimependa story kuwa unpredictable!! Afadhali ameimaliza anaongezea na steki juu sio kama stivu !
I guess . Bossi lady atazaa mtoto wakike
Maxmum respect insider... tumefurahi wote. Asmah alipewa zawadi ya simu used. Take care
Yeah kwa ya big aliuaaaaa ila ana viporo vya story mbili hakuzimalizaga ! Ya mwisho avozingua watu walimkandajeeπ€ π€ !Aah Steve naye alikuwa na balaah lake kwenye ile stori ya Big...π
Yeah kwa ya big aliuaaaaa ila ana viporo vya story mbili hakuzimalizaga ! Ya mwisho avozingua watu walimkandajeeπ€ π€ !
Wee sheendwaa naulegeee! mie nyumba kubwa sina hekaheka zakuwa mchep!
Wee staki mi! meridhika nashida zangu mimi!Unakuwa mcheps kama Jane...una hasara gani kwa mfano!
Wee staki mi! meridhika nashida zangu mimi!
π€Hio tecnic nimeipenda hapo mwisho imetuletea shauku sana ya kujua mwisho ilikuaje na ikawa tofauti!
Uko sahihi japo nimesema ni mawazo tu !
Nijazeee nijazee wee nijazeee bichwa tu!Wewe acha mi niendelee kupitia CV yako usinitoe kwenye reli mama...hadi sasa kuna vitu vinanikosha kukuhusu wewe