Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
1. Pale upokua unakanusha kuhusu suala la iryn kukubali abebe ujauzito na wakati anaenda chuo kusoma huku hamuelewi mustakabali wenu! Memba fulani simkumbuki alipokuambia kuhusu hilo ni kama uling'aka kana kwamba ni kitu ambacho kwa muda huo hakiwezekani!
Stori ilikuwa inaendelea, asingeweza kukubali maana ingeondoa uhondo na mtiririko wa vitu alivyopanga aandike...