Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nitarudiii
 
46
 
Katika nyuzi bora humu na zenye mafunzo nilizozisoma humu ya kwanza ni ile "NAITWA ANALYSE NA HII NDIO STORI YA MAISHA YANGU" na yapili ni hii yako.. INSIDEE..

Nyie mnajua kulezea na halina mba mba mba.

All the best to you
 
Nimefika
 
Insider, hongera na pia pole pole kwa uliyoyapitia.

Ushauri wangu kwako. Fanya kila namna usimpoteze Irene wala mama J. You can do it if you want, you're the man. Everything is possible.
 
Kuna mwamba mwingine mtoto wa buguruni wakuitwa BM X6 sijui naye aliishiaga wapi?? Kuna waandishi wakali mno, ila hawamalizi simulizi, sijui Ni ubize au Ni kitu gani jamani. Ila ninawaombea kheir mpate muda mmalizie stori zenu
 
.
 
Daah natamani kuelewa ulichokiandika lakin naona nimeshindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…