Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mpaka leo sijui aliandikaga nini mle ndani ila nahisi ilikuwa ni farewell[emoji23]

Akili zangu zilikuwa zinawaza mtoto that time, na mawazo yangu yalikuwa yananiambia Iryn anatoa ile mimba kwa hasira zake za kitoto.

We jamaa hatari sana, Bado ukamuuliza kwanini ameamua kubeba mimba bila ridhaa Yako?

Nimelipenda jibu lake hata hivyo.
 
Antonnia haya watu wanapewa mbaka card kuna viumbe wameumbwa na bahati bwana ona sasa anyway mshikaji wangu tutafute chaka jipya ,,tumetoka kwa jirani kule goba tumekuja kwa insider sijui saiv tunaenda wapi
Noma sana bestie watu na bahati zao kwakweli!

Ukipata docho usinisahau ndugu yako!
 
64
 
Hii story kwa hisia zangu ilikuwa na uwezo wa kuendelea zaidi ya hapa ,kwani Kuna mambo mengi muuhusika hajayaweka ,
Mf:mambo maendeleo ya mchepuko wa mzee Pama ,Maisha ya Ilyn huko SA na alivyoenda wakati wa kujifungua ,misukosuko aliyotuambia/pingamizi la ndugu ,Maendeleo ya kazi anazosimamia na mapokeo ya wafanyakazi kwa Iryn kuwa mama Mtoto rasmi na mengine mengi .

Tatizo lilianza kwa watu flani kuforce story iishe na wengine wakasema ingetakiwa imalizike episode ya 30 na watu kukosa uvumilivu wa kusubiri ,kila saa kejeli matusi na maneno mengi na lawama kwa msimuliaji
Mwisho akaona mambo yasiwe mengi ngoja aturidhishe .
Ndio maana akajitahidi kadri awezavyo akaandika ndefu na kubananisha mambo ndio maana anasema na amesha tekeleza atatupa Kama nyongeza ya namna mambo yalivyo endelea hivyo hii nyongeza ingewea kuwa Episode
Lingine angalia hii stori ni ya mwaka Jana mpaka mwezi wa tisa Kama sikosei Kuna zaidi ya Mwaka hapa hajatuwekea maisha yalisongeje .

Tutambue kuwa kwa Sasa majukumu ya Insardeman ni Mengi zaidi na siyo mtu wa kubweteka hivyo ndio maana story ilikuwa inachelewa na pia ndio sbb ya kufupisha ili amalizana nasi ,tofauti na hapo tungekuwa na subiri bado tungekuwa tunapata utamu[emoji2][emoji2][emoji2]
Yote kwa yote Asante mweshimiwa Insairdearman kwa story nzuri na kutokata taamaa kwani makwazo yalikuwa mengi ukitegemea kwa Sasa mambo ni [emoji91] na ulikuwa huna cha kupoteza Asante pia wasomaji na hasa waliokuwa na utulivu,na zidi Sana msimuliaji wetu, Asante Sana Sana ndugu
Niwatakie kila lililo jema wewe na Familia yako /zako pia katika miangaiko yako.
 
Ila Maguire hauchoki kutoa maboko mzee. Sasa demu umemkaza, na una uhakika umemkaza vizuri, unamtongoza ili iweje tena kaka?

Yani baada ya kushinda uchaguzi, ndio unaanza kupiga kampeni?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa nyongeza wewe jamaa unapenda Sana watoto ,ukichukulia kipindi cha ujauzito wa priska ikaja ya Iryn na j wako hakika upo vizuri hongera Sana kwa hilo hapo umenikosha nami nipo hivyo hivyo linapokuja swala la Mtoto ni heri nipoteze vyote ata ndoa
Una Elements za kichaga kwani wanapenda watoto damu yao
 
65
 
67
 
Insider man nashukuru kwa muda wako uliotumia kuandika simulizi ndefu inayo husu maisha yako pamoja na kero tulizo pata kutoka kwa baadhi ya wasomaji, kero haikuwa kwako tu hata kwa mimi msomaji bado ulivumilia na kutuletea muendelezo.

Pongezi kwako kwa kuwa na mahusiano mazuri na Iryn na mmefanikiwa kupata mtoto na upendo alionao Iryn nikutoka moyoni ni wanawake wachache wenye mapenzi ya kweli kama Iryn hakikisha humpotezi Iryn.

Upatapo muda naomba tujulishe kwa ufupi kuhusu Jane na mimba yake kama kafanikisha kujifungua salama maana mwanae ilitegemewa kuwa wakiume na ndugu wa mzee Pama walikuwa wakisubiri damu yao.

Kwa ufupi mliishia wapi na Marry kwakuwa naye kaonesha anahisia na wewe kuna wengine Mama wawili .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukumbukane kwenye opportunity
 
Swali Mkuu uliaga vipi kwa mama J kwamba unaenda SA for two weeks wakati anafahamu Irene yupo kule na wewe ukamfata

Kuhusu kupata mtoto wa kike hongera sana huyu ndiyo atakusaidia, Junior mara nyingi atakuwa na majukumu mengine

Endelea kutunza siri kwa mama J ikiwezekana asijekujua kipindi hiki labda baadaye sana huko, lakini mpeleke nyumbani kwa mama lakini muombe mama atunze siri hii

Ongeza watoto kwa Mrembo wako Iryn kadri uwezavyo maana wanapo pakupata mkate wa kila Siku

You are Nobody until Somebody Loves You.
 
Maadam maisha yanaendelea hii stori inaendelea, kuna swala la Jeni, jinsi ulivyo pata chuo, ni misukosuko gani ulipata, mpaka Iriny anajifungua, mama Janeth baada ya.kujua mtoto ni wako amesemaje, vp kuhusu Marry vick, je ule upelelezi wa yule dogo kuhusu Prisca na jamaa anekuja pale, hi stori bado sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…