Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ningekua mimi ndo mama J. Bora usiniambie mpaka mtoto atakavyokua mkubwa maybe miaka 10 huko tukiwa tushakuwa watu wazima zaidi tunafikiria majukumu zaidi.

My dad alimficha mama kwamba ana mtoto. Mama akaja kujua mtoto akiwa 20yrs, akamwambia tu baba amlete mtoto amuone.

Ila sasa hivi mapenzi bado ni moto moto, mimi nashauri usimwambie mama J. Kuhusu kuwaambia wazazi hapo labda wenzangu wakusahauri. Ila mzazi wako anaweza kukwambia mwambie mkeo na tunarudi pale pale.
Na mama anamuamini baba yani ile ile?? Mmhh lazima aliumia bhana ni vile tu mama hawezi waambie
 
Ningekua mimi ndo mama J. Bora usiniambie mpaka mtoto atakavyokua mkubwa maybe miaka 10 huko tukiwa tushakuwa watu wazima zaidi tunafikiria majukumu zaidi.

My dad alimficha mama kwamba ana mtoto. Mama akaja kujua mtoto akiwa 20yrs, akamwambia tu baba amlete mtoto amuone.

Ila sasa hivi mapenzi bado ni moto moto, mimi nashauri usimwambie mama J. Kuhusu kuwaambia wazazi hapo labda wenzangu wakusahauri. Ila mzazi wako anaweza kukwambia mwambie mkeo na tunarudi pale pale.
Ww ni mimi, yani aniambie tushazeeka kwa saizi aisee ntachofanya alooo atabaki na historia [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani uje tu useme umezaa kabisa umezaa dah sijui ila ngumu mnoo ngumu
 
Aiseeeeee pole sana dear, mimi pia nashukuru Mungu si mgomvi ni either nimteme mtu, au niamue kumeza ila nikimezea ile trust ya zamani inaondoka kabisa
Mimi sigombanagi na mtu maishani mwangu, napita hivi. Hata nilivyomfuma nilijiondokea zangu na kuanza maisha upya. Wala sikugombana naye.
 
Na mama anamuamini baba yani ile ile?? Mmhh lazima salimia bhana ni vile tu mama hawezi waambie
Alikua ashajichokea, Majukumu ni mengi ukizingatia almost kila kitu anafanya mama. May be she felt bad but allimwambia tu mzee, nimesikia una mtoto naomba umletee hapa home ajue ndugu zake.

Watu wapo tu kwenye ndoa huwezi jua labda ni open marriage.
 
Ww ni mimi, yani aniambie tushazeeka kwa saizi aisee ntachofanya alooo atabaki na historia [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani uje tu useme umezaa kabisa umezaa dah sijui ila ngumu mnoo ngumu
Ngumu ngumu mnooo. Saiv mapenzi moto moto na hayo mapenzi yatageuka chukiii chukii mpaka atashangaa
 
Toka nianze kutokuwa na expectations kutoka kwa tu maisha yangu yamekuwa na amani sana.
Nimependa sana hii mimi tangu nikute vya kukuta kwa mume wangu yani nimeacha kabisaaaaa kumtarajia yani siku hizi yalaaaa mwanzoni ndio nilikua na kumuhu muhe siku hizi naangalia tu yaani sitarajii na najiona navyokua na amani simchukii, simuamini na sitarajii chochote 😀😀😀 sana sana nikiona jambo kwa uwazi nacheka alafu namwambia oyaaaa grow up nyau wewe una majukumu kibao aafu magonjwa kebekebe na umala...ya huuwezi tulia yaani kisela tu anainama chini kwa aibu imeisha hiyo nimeacha kulalamika, nimeacha kumfwatilia wooiiiiii🙌🙌
 
Ngumu ngumu mnooo. Saiv mapenzi moto moto na hayo mapenzi yatageuka chukiii chukii mpaka atashangaa
Mapenzi yakigeuka chuki ni hatari.....huyo mtoto aje amfichue uzeeni huko akiwa hata na 18+ hata mama J wivu hautampata sanasana atafurahi kupata mtoto mkubwa ambae ni ndugu na wanae ila saizi asijaribu itamgharimu kimojawapo, au ni either kama kashajipanga kuloose kimojawapo psychologically
 
Ww ni mimi, yani aniambie tushazeeka kwa saizi aisee ntachofanya alooo atabaki na historia [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani uje tu useme umezaa kabisa umezaa dah sijui ila ngumu mnoo ngumu
Yaani nita imagine mlijiandaa kabisa na hata condom hukutumia na ukamwaga ndani kabisa, na migunoo mkatoa mamaaa woiii na nitajiuliza mlifanya mara ngapi.Tena na mwanamke aliyenizidi uzuri uwiiiiii..

Hapana bora insider usimwambie mkeo now nakuomba cuz tayari ulisema ana wivu. Kama ni Pisces ndo tena usidhubutu.
 
Nimependa sana hii mimi tangu nikute vya kukuta kwa mume wangu yani nimeacha kabisaaaaa kumtarajia yani siku hizi yalaaaa mwanzoni ndio nilikua na kumuhu muhe siku hizi naangalia tu yaani sitarajii na najiona navyokua na amani simchukii, simuamini na sitarajii chochote [emoji3][emoji3][emoji3] sana sana nikiona jambo kwa uwazi nacheka alafu namwambia oyaaaa grow up nyau wewe una majukumu kibao aafu magonjwa kebekebe na umala...ya huuwezi tulia yaani kisela tu anainama chini kwa aibu imeisha hiyo nimeacha kulalamika, nimeacha kumfwatilia wooiiiiii[emoji119][emoji119]
Kimbembe magonjwaaaa
 
Yaani nita imagine mlijiandaa kabisa na hata condom hukutumia na ukamwaga ndani kabisa, na migunoo mkatoa mamaaa woiii na nitajiuliza mlifanya mara ngapi.Tena na mwanamke aliyenizidi uzuri uwiiiiii..

Hapana bora insider usimwambie mkeo now nakuomba cuz tayari ulisema ana wivu. Kama ni Pisces ndo tena usidhubutu.
Sio tu kukuzidi uzuri unaanza kuimagine alikua anakuja home mnapiga na story, anabeba na mwanao[emoji1787][emoji1787] anatoka nae out alooo hapana Insider asiseme saiz mambo ni mengi sana
 
Mapenzi yakigeuka chuki ni hatari.....huyo mtoto aje amfichue uzeeni huko akiwa hata na 18+ hata mama J wivu hautampata sanasana atafurahi kupata mtoto mkubwa ambae ni ndugu na wanae ila saizi asijaribu itamgharimu kimojawapo, au ni either kama kashajipanga kuloose kimojawapo psychologically
Ni kweli Queen
 
Nimependa sana hii mimi tangu nikute vya kukuta kwa mume wangu yani nimeacha kabisaaaaa kumtarajia yani siku hizi yalaaaa mwanzoni ndio nilikua na kumuhu muhe siku hizi naangalia tu yaani sitarajii na najiona navyokua na amani simchukii, simuamini na sitarajii chochote 😀😀😀 sana sana nikiona jambo kwa uwazi nacheka alafu namwambia oyaaaa grow up nyau wewe una majukumu kibao aafu magonjwa kebekebe na umala...ya huuwezi tulia yaani kisela tu anainama chini kwa aibu imeisha hiyo nimeacha kulalamika, nimeacha kumfwatilia wooiiiiii🙌🙌
Inasaidia sana halafu unakuwa na nuru muda wote. Mimi ndio linanifanya nisizeeke haraka. Ngozi inawaka maana sigombanagi na watu na wala sina expectations kutoka kwa watu.
 
Kimbembe magonjwaaaa
Sikatai dear, lakini ukigombana, kupigana, kutukanana sio kinga ya magonjwa ni tuzungumze tu kama watu wazima na kukumbusha kubwa Zaidi kumuomba Mungu ila hawa watu kadiri unavyomchase na yeye ndio anakua kama katika ndimu anachachuka ila ukimpotezea Nate anajistukia mie sa hivi nafanya mambo yangu... ila nashukuru hata ajifiche vipi yananikuta tu nayavumbua bila kutumia nguvu ndio hapo nampa ukweli wake alafu kimya anaweweseka hapo wewe mpaka huruma
 
Back
Top Bottom