Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Don't trust a woman hata kama ana pesa nyingi na akasema hutapata usumbufu atalea. Ipo siku utaona kila aina ya nyota na kuziita kwa majina.
hatari, baada ya mtoto kuzaliwa utasikia mtoto ameishiwa pampers au pesa ya maziwa n.k
 

SEASON 1 1st July 2023
[Episode 1 - 70]
Extra Episodes 5
Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu.
THE END




SEASON 2 [50 EPISODES]

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu
BY INSIDER MAN.

UNOFFICIAL RELEASE DATE: 1st JANUARY 2024

INSIDER MAN
 
Wee, mimi nilimfuma aliyekuwa mume wangu live lakini hata sikumdhuru mtu. Nilimuacha sababu ya utapeli na akili kisoda. Wala sikuhangaika na mtu mie, nilienda mahakamani nikavunja ndoa. Na maisha yameendelea tena vizuri tu.
Duuh aisee kuna wanawake wastaarabu kumbe?
 
Sio Kila ukweli ni mzuri kusemwa. Unaweza kuleta madhara makubwa sana endapo hapatakua na umakini.
Nakubaliana nawe. Ndio maana huku juu nilisema ashirikishe familia yake. Halafu familia kama itaona n lazima kwa wakati huo kusema basi kikao cha pande mbili kitaketi.

Tupo pamoja mkuu
 
Insider umeula kaka
 
Insider tafuta namna yoyote iliyo nzuri mama j na lryn wafahamiane kama wake wenza na uwaoe wote japo kwa mwanzo itakuwa ngum sana kwa mama j lakini andaa nondo za kutosha tanga uongo hata usingizie ulitembea naye mara moja mlikua mmelewa sana hamkua mnajitambua ndo mimba ikashka na mlijarbu kuitoa ikashindikana yeye atakubali tu na atazoea na utaoa wote
 
Tupo mbona, hakuna haja na kuhangaika na mtu mzima aliyeamua kufanya jambo lake akiwa na akili timamu. Kulipiza kisasi hakujawahi kumpa mtu amani.
Mie kukutana na mwanamke mstaarabu ni ndoto kwangu

A very dream for me to become true

Faza angu alichepuka na kuzaa nje ya ndoa alafu mchepuko ni kisu balaa na anataka kuongoza ligi, maza alipokuja kugundua aisee ule mtanange uliotokea dadeeek israel na gaza wakasomee!!

Sikutarajia kama na mie nitaingia vitani, yaani kulogana ni jambo la kawaida
Bi mdogo kashindwa kumloga bi mkubwa(maza) kaja kuniloga mie kipenzi cha maza. so sad
 
Naam [emoji91][emoji91]
 
Pole sana mkuu
 
Pole sana mkuu, same way here tunajaribu kutoa maoni yani mtu akiumizwa au kuvurugwa kihisia maamuzi huwa ya hatari sana

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Mwamba huna baya huu uzi wako umenipa jambo moja muhimu saana nitalifanyia kazi. Sema kdgo uzamie kuwala zaidi prisca, sumaiya, nk
 
Ohh Pole sana. Sisi Binadamu ni watu wa ajabu sana , yaani unalipa kisasi kwa hata ambao hawahusiki.
 
Kweli duniani magepu hayakosekani wenzetu wanapendwa na watoto kishua wengine tunapendwa na watoto wa wajumbe wa mtaa [emoji56]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…