Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hakika MUNGU anamakusud na ww mkuu,, nikuombe tu usisahau kutuletea mlejesho wa mtt akizaliwa na ulimuowa kabsa lryn Kwa ndoa? Na ulifanikiwa kumtambulisha kijacho au vip,, big up insider na ujuwe tu lryn tumemla ote Kwa kuemagine hahahahahah
Insider anazingua eti anajifanya anampenda Sana Mama J wkt anampiga matukio mazito nyuma ya Pazia aoe tu Iryne ili awe bilionea halafu Mama J awe nyumba ndogo Anashindwa kutumia AKILI??papuchi tu ya Mama J kuipata mpaka aandike barua kwa mjumbe
 
Mtu hajaoa halafu anasema dini hairuhusu? Kwa hiyo dini inaruhusu kuwa na mchepuko?
Hapa kazinguq Sana japo mwenyewe anasema Mama J akimaliza Chuo ndo wataoana Ila atakuwa wa kwanza kumtosa mtu Tena angemwacha apate mtu sahihi.Insider sio mtu sahihi kwa Mama J kwa matukio aliyopiga.Nimesema ukweli insider Njoo uniue sasa
 
Hapa kazinguq Sana japo mwenyewe anasema Mama J akimaliza Chuo ndo wataoana Ila atakuwa wa kwanza kumtosa mtu Tena angemwacha apate mtu sahihi.Insider sio mtu sahihi kwa Mama J kwa matukio aliyopiga.Nimesema ukweli insider Njoo uniue sasa
Halafu na sisi wanawake bwana, unakaaje na mtu miaka rudi hamna ndoa na wewe upo tu. Hajui binadamu kugeuke ni sekunde tu
 
Sidhani Kama unasema kweli
 
ni njaa na umasikini hajitambui na yuko cheap he has price hapo atokeee mtoto wa mama janet kumpenda na ampe ela zaidi au kama irene atatoka nae hana tofauti na kujiuza he is a valueless man hana pride mwili wake na hisia zake ziko sokoni
Hapana sidhani bht aliyopata hata wewe unaitaka
 
Halafu na sisi wanawake bwana, unakaaje na mtu miaka rudi hamna ndoa na wewe upo tu. Hajui binadamu kugeuke ni sekunde tu
Hii inatokeaga Sana hasa ukishazalishwa unajua Soko la mwanamke akishazaa ni gumu Sana ona hata humu kejeli za Wanazengo ni Single mothers tupu so unavumilia matukio ukiamini ipo siku ataamua mfunge ndoa.ndo Hali ilivyo But wanawake wengi wanaangukia hapa kulea
 
Yaani insider ALISEMA wkt Hana kitu siku zile anasoma Mama J alikuwa anampiga tafu Ila anesahau hata lyne kampiga tafu kuliko mama J Kama point kuu ndo Hiyo na wote Sasa watakuwa sare kwa.kuwa na mtoto naye.Ushauri awe.na Iryne kwenye Maisha Mama J atatusamehe Mana Insider Sasa ni wa viwango vya Paris Dubai..wanaume wapo wengi amwache insider afurahie miujiza wake na lryne
 
Ushauri mbaya huu Iryne awe mke mama J awe Bonus
 
Mwanaume una njaa kali, huna pride, u are cheap and easy japo stori ya uongo ila inakera
Wewe utakuwa ndo Prisca story inakera?? Umetumwa Usome?? Mastory yaliyojaa humu unasema story inakera are you crazy?????
 
Kuna kitu nilisahau kumuuliza Insider. kuhusu mke wa Mzee Pama .Je alipogundua Mumewe kamjengea mchepuko Nyumba na mimba juu mapokeo yake yalikuwa tu positive mpaka mgawanto wa Mali keep sa ru yupo kwa Will au ilikuwaje?Mana Insider umepotray as if Yule ma
Hakuna lililomshtua Tena michepuko miwili Je hali.ilikuwaje na Kama alikuwa poa tu why? Mana nakumbuka aliwahi kukuita kuhusu ni muda gn umefahaniana na Jane
 
Very very complicated... ukisikia miluzi mingi humpoteza mbwa, basi ndo hii. yote kwa yote Mungu ndiye mpangaji wa yote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…