Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kwanini mkuu?
Lina sound good.... Napenda majina mazuri though wazaz walinipa jina zuri Sana...

Hongera kwa hadithi nzuri Ina mafundisho mengi sana Sana.... Hasa kwa vijana tunaojitafuta katika issue ya maisha.

Mwisho nikutakie upambanaji na kheri ktk masomo, kazi na familia yako Mr insider.
 
Kama Mtu mzima nina point kadhaa kwa INSIDERMAN

1.Usimuoe Iryn kabla ya mama J
2.muda mwingi utakua unautumia na Iryn..maana utakua unafanya nae kazi..angalia hapo namna ya kubalance

3.Inaonekana Love yako ni kubwa kwa Iryn kuliko kwa Mama J..angalia namna ya kurekebisha hilo...

Usisahau awali ni awali hasa kama hajakufanyia baya...justification za kunyimwa dudu na mama j ..kwa ajili ya prisca ni Irrelevant..tafuta constructive reasons umconvice huyo mama..plus matendo atakuelewa

Naona kama unaenda speed huu upande wa Iryn na it worried me ( ie..Ndoa plus mtoto wa pili huku nyumbani hukuwa hizo plans) hili nalo kalifanyie kazi...

Mtoto akizaliwa nje ya mahusiano...sio kitu kigeni..ni jukumu lako kama mwanaume kubalance..misimamo na utafute hela kweli kweli mkuu...!

By the way hii story ukipata director mzuri....tunaiuza Azam...
 
Kwa story ilivyo inaonekana mama J alishasepa kitambo. Iryn na Insider wapo pamoja

Karibuni Dinner ndugu zangu[emoji1544]
Weekend huwa natoka na mama J wangu tuna enjoy kama hivi.
IMG_3458.jpg
 
Lina sound good.... Napenda majina mazuri though wazaz walinipa jina zuri Sana...

Hongera kwa hadithi nzuri Ina mafundisho mengi sana Sana.... Hasa kwa vijana tunaojitafuta katika issue ya maisha.

Mwisho nikutakie upambanaji na kheri ktk masomo, kazi na familia yako Mr insider.
Unaamini ni true story? Bado tuna safari ndefu sana
 
Yuko ukonga kivule na ni jirani YANGU.
Haya anayoandika HAPA kuna muda nikimuona naishia kujisonya na kumsonya ni vile tu sitaki kumuambia.

HUYU anaemuita iyrin kuna sehemu namuona nae na picha nimempiga bila kujua,,,akisema suu naituma HAPA.
Kuhusu Mama j ni mtu anaeniheshimu na rafiki wa mke wangu na picha zake ninazo na akisema suu nazituma.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
story nzuri,
nimependa scene zako na iryn, ni copycut ya series moja ya kikorea nimeisahau jina!
Ukiikumbuka jina tuwekee hapa wengine tukatoe arosto maana insider katuacha na arosto kali natamani kama angeendelea kuiweka kila siku.
 
Yuko ukonga kivule na ni jirani YANGU.
Haya anayoandika HAPA kuna muda nikimuona naishia kujisonya na kumsonya ni vile tu sitaki kumuambia.

HUYU anaemuita iyrin kuna sehemu namuona nae na picha nimempiga bila kujua,,,akisema suu naituma HAPA.
Kuhusu Mama j ni mtu anaeniheshimu na rafiki wa mke wangu na picha zake ninazo na akisema suu nazituma.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Pole.
 
Huku mwishoni wamekuja wanaoteseka na kutaka picha za Iryn,wengine za inside
,Wengine kutaka kumjua inside. Wengine wanafoce namba ya inside. Niwape pole
 
Back
Top Bottom