Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Hii Ariana ntai note kwa diary.... NisisahauDecember nitakuja Dodoma na Mama Ariana, usicheze mbali [emoji2763]🤏[emoji2532]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Ariana ntai note kwa diary.... NisisahauDecember nitakuja Dodoma na Mama Ariana, usicheze mbali [emoji2763]🤏[emoji2532]
HV hi story haijaisha jmn au Kuna muendelezo mnk naona iko live kila wakt
Any update mr insider man
Hii Ariana ntai note kwa diary.... Nisisahau
Lina sound good.... Napenda majina mazuri though wazaz walinipa jina zuri Sana...Kwanini mkuu?
Ni wivu tu.Mwanaume una njaa kali, huna pride, u are cheap and easy japo stori ya uongo ila inakera
Kama Mtu mzima nina point kadhaa kwa INSIDERMAN
1.Usimuoe Iryn kabla ya mama J
2.muda mwingi utakua unautumia na Iryn..maana utakua unafanya nae kazi..angalia hapo namna ya kubalance
3.Inaonekana Love yako ni kubwa kwa Iryn kuliko kwa Mama J..angalia namna ya kurekebisha hilo...
Usisahau awali ni awali hasa kama hajakufanyia baya...justification za kunyimwa dudu na mama j ..kwa ajili ya prisca ni Irrelevant..tafuta constructive reasons umconvice huyo mama..plus matendo atakuelewa
Naona kama unaenda speed huu upande wa Iryn na it worried me ( ie..Ndoa plus mtoto wa pili huku nyumbani hukuwa hizo plans) hili nalo kalifanyie kazi...
Mtoto akizaliwa nje ya mahusiano...sio kitu kigeni..ni jukumu lako kama mwanaume kubalance..misimamo na utafute hela kweli kweli mkuu...!
By the way hii story ukipata director mzuri....tunaiuza Azam...
Story yetu pendwa itaendelea?Karibuni Dinner ndugu zangu[emoji1544]
Weekend huwa natoka na mama J wangu tuna enjoy kama hivi.
View attachment 2811866
Dah maoni yamekuwa mengi itabid huu Uzi uchapishwe kwenye jarida maarufu la Bongo magazine na Kisha kupelkwa marekani kuchapishwa kwenye magazine ya Washington PostStory ishaisha,hizo zingine ni maoni mbali mbali ya wadau....
Kak INSIDER MAN pcha ako plz labda we n jran angu tuKaribuni Dinner ndugu zangu[emoji1544]
Weekend huwa natoka na mama J wangu tuna enjoy kama hivi.
View attachment 2811866
Sawa mkuu kuna lingine au huohuo tu?Ni wivu tu.
Unaamini ni true story? Bado tuna safari ndefu sanaLina sound good.... Napenda majina mazuri though wazaz walinipa jina zuri Sana...
Hongera kwa hadithi nzuri Ina mafundisho mengi sana Sana.... Hasa kwa vijana tunaojitafuta katika issue ya maisha.
Mwisho nikutakie upambanaji na kheri ktk masomo, kazi na familia yako Mr insider.
ChiefKaribuni Dinner ndugu zangu[emoji1544]
Weekend huwa natoka na mama J wangu tuna enjoy kama hivi.
View attachment 2811866
Ukiikumbuka jina tuwekee hapa wengine tukatoe arosto maana insider katuacha na arosto kali natamani kama angeendelea kuiweka kila siku.story nzuri,
nimependa scene zako na iryn, ni copycut ya series moja ya kikorea nimeisahau jina!
Sawa dada wa hiariKakuelewaa shangazi Ariana
Pole.Yuko ukonga kivule na ni jirani YANGU.
Haya anayoandika HAPA kuna muda nikimuona naishia kujisonya na kumsonya ni vile tu sitaki kumuambia.
HUYU anaemuita iyrin kuna sehemu namuona nae na picha nimempiga bila kujua,,,akisema suu naituma HAPA.
Kuhusu Mama j ni mtu anaeniheshimu na rafiki wa mke wangu na picha zake ninazo na akisema suu nazituma.
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app