Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Okay brother,nimekuelewa🙏🏼🙏🏼🙏🏼
 
Insider umekua mwongo saivi Ijumaa ngapi zimepita!!!
 
Apart from pursuing a Master's degree, I'm also expecting to start the CPA exams. Kama kuna mtaalamu wa Accounting nina swali linanisumbua la FS, kama unaweza vizuri accounts nijulishe nikupe hili swali ulifanye maana wengi limewashinda. I will pay for your time🙏
 
Liko wapi hilo SWALI
Mkuu ulisomea degree business administration, masters business administration huoni kusoma cpa ni ngumu sana kwa mtu aliekuwa Hana concrete knowledge ya accounting? Maana hata Hao waliosoma accounting wanaiogopa cpa, mimi mwenyewe nilisomea tax management degree na masomo ya accounting na tax hayajapishana sana lakini sijawahi kuwaza kusoma cpa na ubishi wangu WA kusoma option courses za account kama cost accounting na management accounting nimeshindwa kutia kichwa kwa CPA, ama kweli wewe ni mwamba salute, nimekuvulia kofia🎓
 
PRISCA ?
 
Hahaha nimekutana na accountings pure kwenye masters ukizingatia sina background nzuri ya accounts zaidi nilisoma O-level. God is good result imetoka nina A na nina wakimbiza waliosoma degree ya accounts, accounts sio ngumu kama una background nzuri ya maths
 
Account sio ngumu kwenye simple accounting theories lakini ukifika kwenye mambo ya liquidity theories, huko ndani ndani huko kwenye ma formula magumu utajua hujuwi, Ili account uiweze unatakiwa kichwa chako kitulie kama maji ya kwenye mtungi, Mimi kilichonisaidia account nilikuwa nasoma kuelewa practical ya ninachokisoma kinakuwaje ndio ilinisaidia, by the way sisi tuliosoma kozi ngumu ngumu za engineering hakuna somo la kutupelekesha tukiamua, imagine mtu unaopt cost accounting na management accounting wakati hao wahasibu wenyewe masomo hayo wanayakimbia wanasoma kwa sababu ni core subjects tu hawana jinsi, can you imagine kozi nzima yenye wanafunzi zaidi ya 250 walivo opt hayo masomo ni 10 tu na wote tulitoka japo haikuwa rahisi. Binafsi kwenye kusoma Mimi ni miongoni mwa wale wanaopenda kujiweka class tofauti na watu wa HKL na HGL, haiwezekani mtu katoka kusoma history huko cheti Changu na chake kifanane itakuwa nimejishusha sana, thanks God Kuna kozi kama hizi za options zinatufanya tuwe tofauti na wakituona tu wanatupa heshima yetu
 
Oy mwanetu muendelezo lini sasa.. uliahidi january ila mpaka march mwishoni Nehii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…