hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
huko si wengi ni vilaza, wazungu wengi huwa wachovu kupiga msuli kama wetu 😅Hahaha nimekutana na accountings pure kwenye masters ukizingatia sina background nzuri ya accounts zaidi nilisoma O-level. God is good result imetoka nina A na nina wakimbiza waliosoma degree ya accounts, accounts sio ngumu kama una background nzuri ya maths