Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hahaha nimekutana na accountings pure kwenye masters ukizingatia sina background nzuri ya accounts zaidi nilisoma O-level. God is good result imetoka nina A na nina wakimbiza waliosoma degree ya accounts, accounts sio ngumu kama una background nzuri ya maths
huko si wengi ni vilaza, wazungu wengi huwa wachovu kupiga msuli kama wetu 😅
 
Apart from pursuing a Master's degree, I'm also expecting to start the CPA exams. Kama kuna mtaalamu wa Accounting nina swali linanisumbua la FS, kama unaweza vizuri accounts nijulishe nikupe hili swali ulifanye maana wengi limewashinda. I will pay for your time🙏
Kaka Tafuta review class...
 
Apart from pursuing a Master's degree, I'm also expecting to start the CPA exams. Kama kuna mtaalamu wa Accounting nina swali linanisumbua la FS, kama unaweza vizuri accounts nijulishe nikupe hili swali ulifanye maana wengi limewashinda. I will pay for your time[emoji120]
Leta hilo swali

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Karibuni Pasaka ndo inaanza hivi
 

Attachments

  • IMG_6409.jpeg
    IMG_6409.jpeg
    1.7 MB · Views: 52
Back
Top Bottom