ilore
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 963
- 1,248
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay brother,nimekuelewa🙏🏼🙏🏼🙏🏼Wakati nafanya kazi na taasisi X niliingia kwenye mahusiano na uyo binti na ndo chanzo cha ugomvi wetu mimi na mama J. Ukisoma Episode za mwanzoni utaona wakati naanza Uber mama J alikuwa home, sababu kubwa alikuwa huyu demu, sijataka kuweka personal life yangu yote mtandani. Ukirudi kwenye hio thread utaona nilielezea vzr kabisa.
Insider umekua mwongo saivi Ijumaa ngapi zimepita!!!Wakati nafanya kazi na taasisi X niliingia kwenye mahusiano na uyo binti na ndo chanzo cha ugomvi wetu mimi na mama J. Ukisoma Episode za mwanzoni utaona wakati naanza Uber mama J alikuwa home, sababu kubwa alikuwa huyu demu, sijataka kuweka personal life yangu yote mtandani. Ukirudi kwenye hio thread utaona nilielezea vzr kabisa.
Pamoja sana mkuu am waitingANNOUNCEMENT
Guys mambo vipi?
Tukutane Easter kwa muendelezo wa season 2.
March 31, 2024
Ofisi yako iko sehemu gani hapo Dodoma?Jamani kwa wale mliopo Dodoma au mnataka kujenga Dodoma kama Insider mje inbox niwauzie vifaa vya ujenzi hususani Mabati,tailes na Pvc pamoja na marine body. Cantact 0788655172.
Kaka shikamooOfisi yako iko sehemu gani hapo Dodoma?
Cheki DMLiko wapi hilo SWALI
Pamoja sanaANNOUNCEMENT
Guys mambo vipi?
Tukutane Easter kwa muendelezo wa season 2.
March 31, 2024
Liko wapi hilo SWALI
Mkuu ulisomea degree business administration, masters business administration huoni kusoma cpa ni ngumu sana kwa mtu aliekuwa Hana concrete knowledge ya accounting? Maana hata Hao waliosoma accounting wanaiogopa cpa, mimi mwenyewe nilisomea tax management degree na masomo ya accounting na tax hayajapishana sana lakini sijawahi kuwaza kusoma cpa na ubishi wangu WA kusoma option courses za account kama cost accounting na management accounting nimeshindwa kutia kichwa kwa CPA, ama kweli wewe ni mwamba salute, nimekuvulia kofia🎓Apart from pursuing a Master's degree, I'm also expecting to start the CPA exams. Kama kuna mtaalamu wa Accounting nina swali linanisumbua la FS, kama unaweza vizuri accounts nijulishe nikupe hili swali ulifanye maana wengi limewashinda. I will pay for your time🙏
PRISCA ?Wakati nafanya kazi na taasisi X niliingia kwenye mahusiano na uyo binti na ndo chanzo cha ugomvi wetu mimi na mama J. Ukisoma Episode za mwanzoni utaona wakati naanza Uber mama J alikuwa home, sababu kubwa alikuwa huyu demu, sijataka kuweka personal life yangu yote mtandani. Ukirudi kwenye hio thread utaona nilielezea vzr kabisa.
Hahaha nimekutana na accountings pure kwenye masters ukizingatia sina background nzuri ya accounts zaidi nilisoma O-level. God is good result imetoka nina A na nina wakimbiza waliosoma degree ya accounts, accounts sio ngumu kama una background nzuri ya mathsMkuu ulisomea degree business administration, masters business administration huoni kusoma cpa ni ngumu sana kwa mtu aliekuwa Hana concrete knowledge ya accounting? Maana hata Hao waliosoma accounting wanaiogopa cpa, mimi mwenyewe nilisomea tax management degree na masomo ya accounting na tax hayajapishana sana lakini sijawahi kuwaza kusoma cpa na ubishi wangu WA kusoma option courses za account kama cost accounting na management accounting nimeshindwa kutia kichwa kwa CPA, ama kweli wewe ni mwamba salute, nimekuvulia kofia🎓
Muendelezo plzHahaha nimekutana na accountings pure kwenye masters ukizingatia sina background nzuri ya accounts zaidi nilisoma O-level. God is good result imetoka nina A na nina wakimbiza waliosoma degree ya accounts, accounts sio ngumu kama una background nzuri ya maths
Account sio ngumu kwenye simple accounting theories lakini ukifika kwenye mambo ya liquidity theories, huko ndani ndani huko kwenye ma formula magumu utajua hujuwi, Ili account uiweze unatakiwa kichwa chako kitulie kama maji ya kwenye mtungi, Mimi kilichonisaidia account nilikuwa nasoma kuelewa practical ya ninachokisoma kinakuwaje ndio ilinisaidia, by the way sisi tuliosoma kozi ngumu ngumu za engineering hakuna somo la kutupelekesha tukiamua, imagine mtu unaopt cost accounting na management accounting wakati hao wahasibu wenyewe masomo hayo wanayakimbia wanasoma kwa sababu ni core subjects tu hawana jinsi, can you imagine kozi nzima yenye wanafunzi zaidi ya 250 walivo opt hayo masomo ni 10 tu na wote tulitoka japo haikuwa rahisi. Binafsi kwenye kusoma Mimi ni miongoni mwa wale wanaopenda kujiweka class tofauti na watu wa HKL na HGL, haiwezekani mtu katoka kusoma history huko cheti Changu na chake kifanane itakuwa nimejishusha sana, thanks God Kuna kozi kama hizi za options zinatufanya tuwe tofauti na wakituona tu wanatupa heshima yetuHahaha nimekutana na accountings pure kwenye masters ukizingatia sina background nzuri ya accounts zaidi nilisoma O-level. God is good result imetoka nina A na nina wakimbiza waliosoma degree ya accounts, accounts sio ngumu kama una background nzuri ya maths
Oy mwanetu muendelezo lini sasa.. uliahidi january ila mpaka march mwishoni Nehii..Hahaha nimekutana na accountings pure kwenye masters ukizingatia sina background nzuri ya accounts zaidi nilisoma O-level. God is good result imetoka nina A na nina wakimbiza waliosoma degree ya accounts, accounts sio ngumu kama una background nzuri ya maths