hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
huko si wengi ni vilaza, wazungu wengi huwa wachovu kupiga msuli kama wetu 😅Hahaha nimekutana na accountings pure kwenye masters ukizingatia sina background nzuri ya accounts zaidi nilisoma O-level. God is good result imetoka nina A na nina wakimbiza waliosoma degree ya accounts, accounts sio ngumu kama una background nzuri ya maths
31/03Muendelezo plz
Kaka Tafuta review class...Apart from pursuing a Master's degree, I'm also expecting to start the CPA exams. Kama kuna mtaalamu wa Accounting nina swali linanisumbua la FS, kama unaweza vizuri accounts nijulishe nikupe hili swali ulifanye maana wengi limewashinda. I will pay for your time🙏
Oky31/03
Leta hilo swaliApart from pursuing a Master's degree, I'm also expecting to start the CPA exams. Kama kuna mtaalamu wa Accounting nina swali linanisumbua la FS, kama unaweza vizuri accounts nijulishe nikupe hili swali ulifanye maana wengi limewashinda. I will pay for your time[emoji120]
Inaonekana hupendi uongo kabisa [emoji23][emoji23]Insider umekua mwongo saivi Ijumaa ngapi zimepita!!!
msijali sana wadau,, INSIDER MAN ataleta new season baada ya kuufagilia msosi wa pasaka
Nami nasubiriLeo ndio 31 March mkuu INSIDER MAN .....usituangushe pia nikutakie pasaka njema