Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ngoja nkakojoe ntarudi tenaa
 
Ngoja nianze kupiga misuli mpaka uzi uishe😄😄
 
Asanteeee
 
Naisubiria kwa hamu kubwa. Stay blessed mkuu
 
Kwahiyo wazazi wake na wewe amsikilize nani
 
Tar 7 mbali sana
 
Umetisha boss
 
Mkuu kabla hujaendelea nataka nikuunge mkono juu ya uwamuzi uliouchukua kwa huyo sister, ni uwamuzi WA busara Sana, suala LA hospital binafsi kulazimisha wanawake wajifungue kwa operation liko nchi nzima, nimeshuhudia mshkaji wangu akifanyiwa hivyo kwa mke wake, siungi mkono madaktari kulazimisha jambo Hilo kwa sababu linawatia ubovu wake zetu, mtu ukishapasuliwa Huna Tena uzima japo pesa zinatafutwa lakini haiwezekani iwe ni kwa gharama ya kuharibu maisha ya watu, ni bora waongeze pesa kwa kusimamia wanawake kujifungua kwa njia ya kawaida kuliko kuwapiga visu, kujifungua yenye ni kazi ngumu sembuse kumtia mtu kisu cha mbavu ni uonevu kama ulivyo uonevu mwengine
 
Siku hizi hakuna shida mambo yamebadilika mtu anajifungua visu 4 mwilini na bado atashika jembe atalima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…