Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu


Kwa hi si ilikwishaga au imekuwa isidingo the need
Ndiyo kwanza imeanza upyaaa
 
For this episode nimecheka sana
 
Wewe Insider ni mshamba mnyonge na very cheap pia ni muoga u r there to please her kwenye kila kitu hata visivofaa kisa uoga nayeye anakujua kuwa ni mtu cheap anakutishia nyau kila mda kikwetu tunasema kushenteka hapo yeye ndo mwanaume na ana maamuzi. Naogopa sana mienendo ya hivi vijana wengi wanapoteza linder kwa kupenda vya kupewapewa mtu anapokea mpk simu yamamako ingekua prisca na mimba apokee simu wat cud be ur reaction?! S ungesimama kiume uchore mpaka uyo ailini unamuogoopa in a way huna say ah kwanza najichosha bure stori lenyewe la uongo
 
mimi naungana na insider yupo sahihi.
Mwanamke ana pesa ana elimu ana kila kitu ni sahihi kabisa kumpa mimba. Kuliko angezaa na wanawake wanaonuka jasho, kisirani, ugumu wa maisha kama walivyo wengi hapa wakimtukana.
Hapo insider atawaoa wote kwa ndoa ya mila. Aache kusikiliza mawazo ya wanawake maskini kama wengi wanavyomshauri. Mwanamke hajawahi hata kumiliki wigi anaanza kumshauri insider kuhusu mwanamke mwenzake mwenye pesa nyingi.
Insider asisikilize watu maskini kwenye mambo kama haya maskin huwa tuna Laana aendelee yupo sahihi kabisa.
 
mambo ya kuwaza je angekua prisca kapokea simu ingekuwaje ni mambo ya kipumbavu! Sababu simu imepokelewa na Iryn si prisca angekuwa prisca tungeuliza kuhusu prisca hivyo hapo huna hoja.
Iryn anajihesabia haki kuliko malaya wengine? Malaya ni mtu wa aina gani? Tuelezee kwanza malaya anakuwa mtu wa aina gani ili tuangalie hizo tuhuma.
 
Depreciation= (Value of Asset - Residual value)/Useful life. Only legends can understand this.
 
Dada unasahau Iryn ni pregnant. 90% ya wanawake wajawazito huwa ni wasumbufu maana wanajua tukileta ubabe tutakosa mtoto. Same to Iren anajua Insider anataka mtoto hivyo lazima atulie hana ujanja.

Kupokea simu ya mama sio tatizo ila angejitambulisha yeye ni nani hapo ndo tatizo, huoni hata mama Insider kakisifia chombo?. Ulitaka jamaa ampige Iryn kisa kupokea simu ya mama? afu ni mjamzito.

Prisca aligombana na jamaa sababu alimtukana mama J, hapa ndo ulitokea ugomvi ila alimpenda sana Prisca.

Kuna kitu mnashindwa kutambua kutoka kwa Iryn, huyu mwanamke anaoekana ni mjanja na very strategic na dizaini ya wanawake kama hawa mpaka akastick kwa mwanaume jua huyo jamaa wanaendana. Iryn ana wasiwasi kwa Asmah huoni hii ni weakness tayari anayo kwa jamaa😂😂,
 
Ukweli huu, kufikia sasa Iryn na mama J ni 50=50, Insider anaweza oa yoyote. Wanawake wa humu ndani wana makasiriko sana.
 
alaf wwe dada, naona una roo ya umaskn na kwasababu unavo muongelea iryn kama n mtu mweny hatia kumpenda jamaaa alaf kumbuka mam j bad hajaolewa na iryn bad hajaolew ila jamaaa aliwai kumzalsha mama j na kama kpnd hiko angekutana na iryn kabl ya mam j angemuona iryn
Alaf iryn sio anajpa credit kwa jamaa kisa ana pesa hapan ni vile tyu amempend jamaa kutok moyon ila kwa kua wew.ni mshenz maskn ndo maana unaroo ya kwanini istoshe kama iryn angekua malaya asngekbal kaz yeny inamuingizia pesa ming san kxa jamaa mana hata jamaaa hana maisha ya kumuaford iryn hata kwa zero point zero one perce hamna
MIDADA YA KIBONGO YENYEWE INAWAZA UPUUZ MAPENZ NA PESA yan hain mapenz ya dhat kabxa yan ndo maana inatumika zen inaishia kupata mimb zszokua na baba na magonjwa ya znaaa
acha wivu utakufa mapepa
 
Depreciation= (Value of Asset - Residual value)/Useful life. Only legends can understand this.
sema kaka upuunguze tamaaa bas kama mdada kameamua kutulia na kukujali juu yako kwa kila kitu sasa tamaaa kwa mbwa mbwa za nn aiseee et mfano apo naon inaelekea bomba linatak kummwagia marry wa kaz gan xaxa onetme huyo iryn yupo sahii kwa kua we n mshenz na hiki kitu wabongo weng tunafel
iryn kwakwel hata aksemavumuoe yupo sahii n vle tu mama j alianza kuzaa na kpnd kile una maish mahum anakup kampan hukuwaza ukakulupuka kam bado we kijan una tamaa za mwil ila mpak xax bad mam j hana hak kwako na iryn pia han hak though mama j ulmtolea maal ila n seem tyu ya utambulshe na mamb uwa yana badlika
sema unafelisha kinoma wanawake wakbongo ni jau san TULIZA MBULI hao wakina ASMA na wakina MARY wana nyuchi ambaz.hata ww unathibitsh hazmfkii IRYN kwa kila kitu TULIZA BORI KIWANJA KIDOGO babuu ALAF naona kama uliishia kukosa mtoto na kaz na uaminifu ukapoteza pia kwa vitu vya kijinga ambavo vlikua unaweza kutulia ukafany ya msing mana n sawa tu ulkua parasite kwa kupewa penz na pesa ila hukua na ubinadam mana duuuuu ANYWAY lets go ktk zjazo tuone SEMA big up sana SALUTE SALUTE SALUTE
 
Shaggy aliimba wimbo "Strength Of the Woman" na wengine women's power na dunia inawatumia wanawake ili mambo yawe rahisi au yafanikiwe. Hakuna mwanaume mwenye nguvu mbele ya mwanamke mkuu na kwenye maisha ya kila mwanaume huwa anatokea mwanamke mmoja ambaye huwezi pindua kwake na si lazima awe mke wako. Tena anaweza asiwe na sifa nzuri kama mke wako ila ndio anakushika masikio. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Jaribu kukumbuka kisa cha Pastor wa Kawe alivyotulizwa kupiga kelele kuhusu kiongozi wa mkoa wa Dsm

If you're a big man you can understand what Insider Boy is going through. Kwa huyo mwanamke alihitaji kuwa smart si kukurupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…