Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,797
- 22,359
Ahahahaha kwan jina si Kuruta au??Watoto wa jeshi ao kiongozi 🙌
By the way sijawah kuyapenda mambo ya kuoigana makofi watu wazima 😂
Ahahahaha kwan jina si Kuruta au??Watoto wa jeshi ao kiongozi 🙌
Kiongozi inaonekana umenipa code kuwa hukupitia jeshi kwasababu hayo ndo majina yanayotumika kwa wingi kule🙌,kama kurutu,kuruta,mdudu na nkAhahahaha kwan jina si Kuruta au??
By the way sijawah kuyapenda mambo ya kuoigana makofi watu wazima 😂
Sijapita kabisaa mkuu, 2010 hiyo program ndio ilikua kwenye utaratibu wa kurudishwa so sisi ikatu skipKiongozi inaonekana umenipa code kuwa hukupitia jeshi kwasababu hayo ndo majina yanayotumika kwa wingi kule🙌,kama kurutu,kuruta,mdudu na nk
Mimi ameniharibu ma epsod zake,zimenifanya nisiwe na tamaa ya wanawake,labda nipate mrembo na awe na ukwasi,tofaut hapo wacha na mimi nibaki tu kwa mama Triple G&G wangu.
Hapo umenena chifu ila tumpe tu maua yake ila sasa anachelewa kutoa muendelezo kwa haraka bora akitoa hata mbili mbili sio mbaya aisee uyo iryn wake wakuu nashindwa kupata pichasema awe anatoa pakage ya kutosha anakaa sana bana mpaka utamu unakata tunassau tena kama vp awe anatoa epsode mbili kwa pamoja kisha wki mbili tena kulko kukaa muda mrefu kama tunasbr gunia la pesa au tunasbr nchi ya ahad babu
zngatia hayo
unyama sana kjana kama nmetsha mpe ugwanzeee maua yake na like yake moja na kcheko chake kmoja.Hapo umenena chifu ila tumpe tu maua yake ila sasa anachelewa kutoa muendelezo kwa haraka bora akitoa hata mbili mbili sio mbaya aisee uyo iryn wake wakuu nashindwa kupata picha
AsanteNimeipata Mama Edina Cheology @Iiry
Najaribu kumbembeleza kipenz cha wadada INSIDER MAN lakin mgumu kama ninicacutee mwambie Insider Boy atubless weekend episode
😂😂Wagogo na Wanyamwezi ni wazaramo wa bara. Hizo ndio tabia za INSIDER MAN hawezi leta uzi pasipo majidai 🤔
Hata kwako?Najaribu kumbembeleza kipenz cha wadada INSIDER MAN lakin mgumu kama nini
Acha tu@rala
Hata kwako?
Atakuwa hana uhakika kama hiyo avatar ni ya kwako angekusikilizaAcha tu
😂😂😂Atakuwa hana uhakika kama hiyo avatar ni ya kwako angekusikiliza
Insider anavosimulia ni kama anamfananisha uyo iryn sawa na malaikaHuyu ndiye Iryn INSIDER, aka Mama Kijacho!View attachment 2980805
Kama kwa maelezo ya INSIDER MAN huyu ndio umemuona anafanana na Iryn, mwanangu una taste mbovu sana ya wanawake.Huyu ndiye Iryn INSIDER, aka Mama Kijacho!View attachment 2980805
Sio wewe huyu?Huyu ndiye Iryn INSIDER, aka Mama Kijacho!View attachment 2980805