Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank u sweetieJinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu
Insaida hujabadili gia angani kweli??? Kuna koments zako fulani nimewaza nje ya box nikahisi hapo mwisho umebadili gia sijui kwanini! 1. Pale upokua unakanusha kuhusu suala la iryn kukubali abebe ujauzito na wakati anaenda chuo kusoma huku hamuelewi mustakabali wenu! Memba fulani simkumbuki...www.jamiiforums.com
😃😃😃😃Thank u sweetie
You are so caring
❤
Asante sanaSEASON 02
CHAPTER 7
BY INSIDER MAN
ILIKOISHIA
MIMI: “What? Babe sikuelewi ujue, kwamba mama Janeth kazaa na Baba yako?”
IRYN: “Insider hivi huoni Smith kafanana sana na Baba yangu Mzazi?”
ENDELEA………
Niliona kama Iryn ameanza kuchanganyikiwa na sio akili yake muda huu, kwa wanawake wajawazito suala la kuchanganyikiwa ni kawaida sana.
MIMI: “Mummy mimi nafikiri twende ndani ukapumzike utakuwa umechoka.”
IRYN: “Do you remember that day when we were here with my papa?”.
Nilimpa ishara ya kuwa ndio nakumbuka na yeye aliendelea kuongea,
“Saa 6 za usiku mama alikuja hapa hotelini kuonana na mzee na aliingia room yake.”
MIMI: “Are you serious?.”
Iryn alivuta simu yake iliyokuwa pembeni na akaanza kunionesha picha, na kwenye simu ilionekana picha ya gari Range ikiwa parking na picha ilikuwa imepigwa muda huo.
IRYN: “Hii gari ni yake na alipark nje kabisa akaonana na mzee, saa 12 asubuhi aliondoka na before ya kuondoka Mzee alinipigia simu ili kuconfirm kama nimelala au laah. Lakini mimi sikupokea simu yake na nilikuwa macho muda huu.”
Na muda huu Iryn alianza kunionesha picha za mzee wake vizuri na zile za Smith, ukweli walionekana kufanana sana.
MIMI: “Baby, how did you find out?”
IRYN: “Nilianza Investigation yangu muda sana since mama kafariki na siku ambayo mzee alikuja Dar ndo nilikuwa na uhakika wa 100% wa kinachoendelea.”
MIMI: “Swali langu ni kwamba, ulijuaje Smith ni mdogo wako? Hapa ndo nataka majibu.”
IRYN: “Blood is thicker than water, familial bonds will always be stronger than other relationships.“
MIMI: “Smith ana kama umri wa miaka 5, dhahiri mama Janeth alikuwa anamzunguka mama yako akiwa bado hai. Na kwanini afanye hivi kwa mama yako ambao walikuwa ni marafiki?”
IRYN: “Insider kwasasa siwezi kuendelea kuongelea haya still naendelea na investigation yangu, I'll let you know soon once I have full answers."
MIMI: “Mimi naomba nikuulize kwa mara ya mwisho. Je mzee anafahamu tayari umefind out kuhusu hii ishu?”
IRYN: “Hapana, pia kupitia simu yake nimepata evidence Smith ni mtoto wake na bado wana mahusino ya siri na mama Janeth. Insider bado naendelea na Investigation yangu na ikikamilika nitakaa na mzee chini ili tuongee kuhusu hili.”
Muda huu nilikuwa kama mtu ambaye nimepigwa na butwaa na sijui hata niseme nini maana niliona kama haiwezekani lakini nikakumbuka msemo wa fainali za Woldcup kwamba “IMPOSSIBLE IS NOTHING”.
Na Iryn aliendelea kuongea,
“Baby siwezi kumlaumu sana mzee maana maisha yao na mama yalikuwa na migogoro sana, ukizingatia mama alikuwa busy sana na kazi na kusafiri sana, pia tatizo lake la utasa ndo limepelekea mzee kuwa na watoto nje ya ndoa.”
MIMI: “Unachosema ni kweli, watoto ndo kila kitu kwenye familia.”
IRYN: “I feel sorry for my mom! Maana hakustahili haya.”
MIMI: “Totally nimejiskia vibaya sana na naona heshima yangu kwa mama itapungua sana.”
IRYN: “Kwa hili mama alikosea sana lakini simlaumu sababu bado sijui sababu ya yeye kufanya hivo, soon nitakuwa na majibu yote.”
MIMI: “Sawa mummy wewe endelea na uchunguzi wako na ukiwa na majibu yaliyokamilika utanijulisha maana kama bado siamini.”
IRYN: “Matatizo ya mama yamesababisha haya yote mpaka sasa, ujue ni namna gani naumia Insider?. I remember my mom told me kuna possibility hata mimi kurithi kutoka kwake, hii nayo ni moja ya sababu mimi kuwa na mawazo sana.”
MIMI: “Mbona umepata ujauzito? Ulikuwa na tatizo gani?”
IRYN: “Since mama anambie hivi sikutaka hata kwenda hospital lakini nikiwa Ufaransa nilikwenda kuchukua vipimo na nikaambiwa niko salama. Wasiwasi wangu labda naweza kuwa na mtoto mmoja tu kama ilivyokuwa kwa mama, ndomana natamani sana kupata mtoto mwingine huyu akikua.”
MIMI: “Mimi siamini kwenye hili baby usiwe na wasiwasi naamini utazaa watoto wengi tu.”
IRYN: “Baby! I wish that lakini familia yetu ina matatizo haya ni masuala ya inheritance.”
MIMI: “Kama uliambiwa hauna tatizo bhasi trust me nothing is going to happen na mimi niko tayari kukuzalisha watoto mpaka useme stop.”
IRYN: “Insider unatakiwa utambue kuwa wewe ndo mwanaume pekee uliyeweza kuwa karibu na mimi kwenye kipindi kigumu na kurudisha furaha yangu. Hata hii mimba ni zawadi kama ukumbusho kwako, siku ambayo sitakuwepo hapa duniani huyu mtoto atakuwa furaha kwako.”
Na muda huu machozi yalionekana kwa mbali na nilitumia nafasi hii kuendelea kumfariji na kumbembeleza. Tulijikuta tukianza kupeana mahaba pale swimming bila kujali watu waliopo mle ndani na baada ya kuona arosto imezidi tuliamua kurudi chumbani kwa zoezi lingine.
******
Asubuhi mimi ndo nilikuwa wakwanza kuamka na muda huu yeye alikuwa bado kalala, nilikaa nikimtizama jinsi alivyokuwa amelala maana alionekana kuwa mzuri sana. Nilianza kuwaza mambo ambayo alikuwa akinambia jana usiku kuhusu mama Janeth.
“Ndomana mama anampenda sana Iryn kumbe kazaa na baba yake, kwahiyo mama Janeth ni mama mdogo wa Iryn. Na kipindi kile mama ananiuliza kuhusu mahusiano yetu kumbe ni mama yake alitaka kujua kinachoendelea kati yetu. Ina maana mzee wake aliamua kuzaa na mama Janeth kwasababu ya kumuangalia Iryn?. Lakini mbona amezaa na baba yake wakati bado mama yake yuko hai?. Mama Janeth ni b*tch tu kwanza watoto wote kila mmoja ana baba yake, huyu mama ni kiboko.”
Kwa upande mwingine ni kweli mama Janeth anampenda sana Iryn tena ule upendo halisi, kama hujui unaweza sema ni mtu na mama yake. Kwa hili mama Janeth apewe maua yake na nilihisi ule upendo ni sababu kazaa na baba yake maana si wa kawaida.
Muda huu nilianza kufikiria kauli za Iryn kuhusu Smith kuwa ni mdogo wake na nilibaki najiuliza, hivi Iryn kajuaje? Na hizi taarifa kazipataje?. Nilianza kumwona Iryn sio mwanamke wa kawaida kama aliweza kupiga picha za gari ya mama Janeth kipindi kaja hotelini na kuondoka, bhasi huyu mwanamke ni jasusi.
Niliwaza pale kama ameweza kupata picha za baba yake akiwa na Smith na zingine akiwa na mama Janeth, nikajiona hata mimi siko salama na huenda anajua kila anachofanya ila anasubiri niingie 18. Niliendelea kuwaza namna ya kudeal naye maana bado sina uhakika kama anani monitor, lakini kwa hatua tuliyofikia niliona inawezekana na nilisikia akiniita,
IRYN: “Baby mbona umeniacha alone na unawaza nini?”
MIMI: “Nothing mummy good morning.”
IRYN: “Come close please.”
Nilisogea mpaka kitandani nikakaa pembeni, japo alinitaka nilale kabisa na nikafanya hivyo. Muda huu nilikuwa nalifeel mubashara joto lake na alianza kuikoki bunduki yangu taratibu kwaajili ya kuanza vita. Dakika chache mbele vita ilianza kwa fujo sana pale kitandani na yeye ndo alikuwa captain wa hii match maana alikuwa akiliendesha gurudumu kwa juu.
Baada ya kuoga alisema nimpeleke Mikocheni kwa Lucy na kwa upande wangu nilipanga kwenda ofisini Masaki. Kabla ya yote tulipitia kwanza restaurant tukapata breakfast na ndo kuondoka maeneo yale na nilianza kumdrop Mikocheni.
Baada ya kumdrop mimi nilirudi Masaki na moja kwa moja nilikwenda ofisini. Pale reception alikuwepo Hilda nikampa salamu then nikaingia ndani, toka Iryn arudi hawa wanawake hata sikuwa na story nao kabisa.
Ndani ofisini alikuwepo Asmah na nilimpa salamu, nikaendelea na kazi zangu lakini haikichukua muda alianza kuniuliza kama Iryn kaondoka na mimi nilimjibu bado yupo na atakuja kuwaaga.
Mida ya saa 7 mchana Asmah aliniomba tukapate lunch pamoja na Hilda. Ukweli sikutegema kauli hizi kutoka kwa Asmah, lakini nililikubali ombi lake na tukaondoka kwenda kupata lunch. Baada ya kuwasili eneo la tukio kila mmoja aliagiaza chakula na story ziliendelea na Hilda ndo alikuwa muongeaji sana,
HILDA: “Guys ni muda sana hatujatoka kula pamoja kama hivi.”
MIMI: “Mambo yaliingiliana tu, but huwa natoka sana tu.”
HILDA: “Insider Iryn kaondoka tayari?”
MIMI: “Bado yupo nafikiri atakuja kuwaaga before hajaondoka.”
HILDA: “Iryn ni mrembo sana utafikiri alishushwa kutoka mbinguni.”
MIMI: “Anamzidi Asmah na huu ushombe wake?”
Asmah alionekana kufurahi baada ya kumsifia maana tabasamu lake lilichanuka ghafla,
HILDA: “Asmah ni mwanamke mrembo, hivi Asmah wewe ni Mtanzania kweli?”
ASMAH: “Hilda sipendi ujue, umeanza matani yako mada ni Iryn na sio mimi.”
HILDA: “Insider leo naomba nikuulize kitu but kuwa honesty na si kwa ubaya.”
MIMI: “Uliza tu bossy wangu.”
HILDA: “Have you guys ever been in a relationship?”
Mimi niliangaliana na Asmah na sikutegemea kama Hilda angeuliza swali kama hili, na sikujua alikuwa na mpango gani.
MIMI: “Hapana hatujawahi kabisa kuwa kwenye mahusiano. Namuheshimu sana manager wangu na kama mtu wa karibu kwangu.”
HILDA: “Ooh sawa sound great”
ASMAH: “Leo umeconfirm mwenyewe maana huwa huniamini. Insider kuna balance ilibakia kutoka kwenye bajeti ya mafunzo kama TZS 410,000, ripoti nilikutumia but hujatoa majibu mpaka sasa.”
MIMI: “Ile ilikuwa ni budget ambayo tuliidhinisha na mama, kama kuna balance imebakia sioni sababu ya kuirudisha bank ukizingatia kipindi kile ulipiga sana kazi. Hiyo pesa unaweza itumia kwenye mambo yako binafsi usiwe na wasiwasi.”
Baada ya kumaliza kupata lunch Asmah alilipia bill na tukaondoka kurudi ofisini. Kwa upande mwingine Asmah alionekana kuwa na furaha sana maana story zilikuwa zimerudi kama awali.
******
Saa 12 za jioni Iryn alinipigia simu na kunipa taarifa ya kukutana pale Kaffé Koffee Orysterbay na alisema yuko pale ananisubiri. Muda huu mimi nilikuwa pale Samakisamaki nacheki game, hivyo niliamua kuondoka ili nikaonane naye.
Baada ya kuwasili maeneo yale nilimuona kwa mbali akiwa na Sumaiya na walionekana kupiga story na kucheka sana, hivyo nilifika mpaka pale nikakaa pembeni ya Iryn.
MIMI: “Ningejua upo na huyu fala hata nisingekuja.”
SUMAIYA: “Insider acha dharau mshikaji wangu au kwakuwa unakojolea pazuri?”
MIMI: “Tulia angalia nisije nikakuharibia hapa mbele za watu.”
IRYN: “You guys please stop this, Baby tuko hapa kwaajili ya kudiscuss financial matters za kampuni, si ulimsikia mama anasemaje?”
MIMI: “Sumaiya na mambo ya financial wapi na wapi? Tunapoteza muda tu hapa.”
SUMAIYA: “Mpenzi huyu Insider nam-mudu hata usiwe na wasiwasi uzuri anazijua akili zangu.”
MIMI: “Wewe ni kichaa siwezi shangaa na kuanzia leo marufuku kukaa na Iryn kama hivi.”
IRYN: “Jamani let’s start conversations acheni matani yenu.”
Tulianza mazungumzo yetu pale na ndani ya nusu saa tulikuwa tumemaliza tayari na story zingine ziliendelea. Wakati tukiendelea kupiga story kwa upande mwingine simu yangu ilianza kuita na ile kucheki ni Jane anapiga na nilipokea simu yake.
Baada ya kupokea simu yake tulisalimiana na nikamuuliza maendeleo yake akanambia yuko fresh. Jane aliendelea kuongea kwamba kaongea na Mary ili tuweze kukaa kikao cha pamoja cha usuluhisho, lakini amegoma na amekataa katukatu. Hapa na mimi ndo ilibidi nitoke eneo hili nakwenda kuongea na simu mbali.
JANE: “Mary amegoma na amesema hataki hata kukuona kabisa kwasasa. Kuna jambo lolote baya umelifanya? Hata mimi nashindwa kujua nawasaidiaje shem wangu.”
MIMI: “Hapana shemu nothing wrong I did zaidi ya kucancel appointment zetu.”
JANE: “Okay yeye anasema last time mlikubaliana kuonana but ulighairi tena na ukamwambia unakwenda msibani, then kesho yake anakuona upo na dada (Iryn) hiki ndo kimemuumiza sana.”
Nilinyamaza kwa sekunde kazaa maana sikujua namjibu nini Jane,
MIMI: “Ni kweli shem jumamosi tulikuwa na miadi ya kutoka out lakini bossy wangu alinipigia simu kuwa yuko Dar, hivyo sikuwa na namna ya kutoka na Mary na kumwacha bossy wangu. Nilikuwa kwenye wakati mgumu na njia rahisi ya yeye kunielewa ilikuwa ni kumdanganya hivyo.”
JANE: “Anasema sio mara moja tu ni mara nyingi sana, na anajitahidi sana kuwa karibu yako lakini unamchukulia kama hana thamani kwako, ndomana ameamua kukaa mbali na wewe.”
MIMI: “Shem kama ameamua hivyo mimi naona ni sawa tu, ukizingatia Mary ni mtu mzima anaye jitambua. Kama anaona sawa kukaa mbali na mimi na anapata furaha anayoitaka ni jambo la kheri. Na naomba usihangaike tena kutupatanisha kama hataki-hataki, wewe endelea na mambo yako.”
JANE: “No Insider sitapenda kuona ile movie ya juzi ikiendelea, wewe kama mwanaume kaa nae chini myamalize. Nimemjua Mary kupitia wewe, sasa kuona hamuongei tena si busara please.”
MIMI: “Mary analeta utoto ni busara tumpe space then nitamcheki akitulia kwasasa itakuwa ngumu.”
Ni maongezi yangu na Jane yaliyochukua zaidi ya nusu saa bila kuwa na muhafaka wowote na muda huu nilimuona Iryn akija usawa wangu. Baada ya Iryn kusogea alisimama akiniangalia kwa jicho kali na mimi niliamua kumuaga Jane na kumpa ahadi ya kwenda kwake ili tuzungumze vizuri.
MIMI: “Baby are you ok?”
IRYN: “Who were you talking to?”
MIMI: “Baby calm down unataka kujua nilikuwa naongea na nani? Then ukimjua itakusaidia nini?”
IRYN: “I feel very disrespected when you speak to me in that tone of voice.”
MIMI: “Ulichokifanya sio heshima ndomana nimekujibu hivo, you're not respecting me either."
Iryn alinyamaza kimya ni kama aliona kweli kazingua na mimi nilimwambia turudi ndani.
Tulirudi ndani kwa Sumaiya lakini Iryn alionekana kubadilika sana hata furaha yake ilipotea ghafla. Japo Sumaiya alihisi something wrong lakini hakuongea chochote.
Muda ulikuwa unasoma saa 2 za usiku na tuliagana na Sumaiya pale, lakini nilishangaa sana kumsikia Iryn akimuaga Sumaiya na kumwambia kuwa ataondoka jumamosi.
MIMI: “Baby unaondoka Jumamosi? Mbona sikuelewi si ulisema kesho jumatano?”
IRYN: “Nimeghairi nitaondoka hio siku, mbona hupendi mimi kuendelea kuwa hapa naharibu mipango yako?”
MIMI: “Sina maana hio kumbuka wife kule home hawezi nielewa kama kesho nisipo rudi na mimi sitaki wewe ulale alone.”
IRYN: “Nitalala alone don’t worry”
MIMI: “No sikia tutakwenda Ethiopia na ulisema tutakaa siku 3 bhasi tutakaa week kabisa sawa mummy?”
Iryn aliniangalia na akatingisha kichwa cha kusikitika lakini alionesha tabasamu,
IRYN: “Darling unajua sana kumshawishi mtu, anyway kesho nitaondoka but hii ahadi yako hakikisha inatimia.”
MIMI: “Hili ondoa shaka, sasa mimi nakwenda kuangalia match wewe nikurudishe hotel ukapumzike unaonekana kuchoka sana.”
IRYN: “Kweli najisikia vibaya, kaniache kwa mama then utanipitia.”
Nilianza kumwacha Iryn kwa mama na mimi nilikwenda kuangalia match na kama kawaida nilimiti na Allen. Baada ya game kuisha ilikuwa ni saa 4 za usiku hivyo niliagana na jamaa na nilikwenda kumchukua Iryn na tukarudi hotelini.
Baada ya kurudi Iryn alianza kupanga nguo zake na vitu vyake kwaajili ya safari na muda huu alinikabidhi necklace, saa na bracelet na mimi ndo kukumbuka ni zawadi alizopewaga na Muajemi kipindi kile.
IRYN: “Baby hizo takataka sitaki kuziona tena machoni pangu nataka umrudishie rafiki yako. Kingine naomba umwambie ukweli rafiki yako kuhusu sisi kama utashindwa I will do it by myself.”
MIMI: “Mummy hizi si ulipewa zawadi? Shida ni nini? Na kwanini unasema niongee na Muajemi?”
IRYN: “Sizihitaji hizo zawadi zake, nakwambia sababu ananisumbua sana alijuaje mimi nasoma chuo X? Kama sio wewe ulimwambia?”
MIMI: “Unataka kusema Muajemi alikufata chuo? Serious?”
IRYN: “Unashangaa nini sasa, kanitafuta kwa namba ngeni kanambia niko South Africa karibu na chuo chako na akabeg sana tuonane, nikamwambia siko South nimesafiri, alinitumia mpaka location ya hotel aliyofikia. Naomba sana umrudishie hizo mali zake na umwambie ukweli kuhusu mimi na wewe before I do it.”
MIMI: “Sawa baby ila usithubutu kufanya hivyo ila mimi nitajua namna ya kudeal naye but nipe namba aliyokutafuta.”
IRYN: “Mwambie ukweli kwa hili nakuhakikishia kama utashindwa mimi nitakusaidia. Muajemi anafikiri mimi natamaa nikuoneshe message zake za kijinga alizokuwa anatuma?.”
Niliwaza pale nikaona Muajemi anazingua ni nini hii kuanza kumfata Iryn chuo? Huyu fala kweli ni king’ang’anizi nikaplan kumcheki ili niongee naye, suala la kumfungukia niliona haliwezekani. Japo Iryn alionekana kutopenda kwa kile kinachoendela maana aliona ni usumbufu afu mimi ndo kama sababu.
Tuliendelea kuongea masuala mengine ya maisha na yeye kwa upande wake aliahidi kuilinda mimba mpaka pindi anajifungua na alinihakikishia usalama wangu. Kwa upande mwingine alinishukuru sana kwa kuendelea kuzisimamia kampuni zake na alinipa sana hongera kwa kufanya vizuri maana kwa mwaka huu tulikuwa tumepata faida kubwa sana na alisema nitapata share zangu mwisho wa mwaka.
Tulidiscuss suala la kufungua biashara nyingine ambapo alisema itakuwa 50-50 lakini yeye ataweka capital na mimi nitakuwa msimamizi. Nilimshauri tufungue duka la simu na tubase kwenye simu za iphone na Samsung na tuweke utofauti na wauzaji wengine.
Niliona biashara ya simu inalipa sana kwasasa afu Iryn pesa anayo, kwake ni suala dogo sana kama ataamua hivyo na kuhusu location niliona Masaki kulekule kungefaaa. Kwa upande wake aliona ni wazo zuri, alilipokea na akasema tutaplan vizuri tukionana next time.
******
Jumatano jioni Iryn aliondoka kwenda South Africa lakini kabla ya kuondoka ile asubuhi baada ya kuamka tulikwenda ofisini Masaki na lengo lake awaage akina Asmah pamoja na team yote ya Masaki.
Baada ya kuwasili pale ofisini alikwenda kutengeneza nywele zake na mimi nilikwenda ofisini na nilimkuta Asmah na kama kawaida yake alikuwa busy. Tulisalimiana na alionesha kufurahi sana mpaka ilibidi nimuulize mbona hivyo kulikoni? Na yeye alinambia nothing yuko kwenye mood nzuri.
Nilimsoma Asmah kama anajambo anataka kuzungumza lakini dizaini anasitasita na mimi nilikaa nikaendelea kuzuga zuga, ukweli sikuwa hata na mood ya kazi hii siku na nilisikia akiniita,
“Insider…..”
“Abee mama.”
“Kwanini hukuwahi nambia kama unamtoto?”
“Kwasababu hukuwahi niuliza ndomana, but sioni tatizo la mimi kuwa na mtoto, ndo hiki kilifanya uninunie?”
“Hapana mimi sijakunununia wasiwasi wako tu, na mama mtoto yuko wapi?”
“Yupo ninaishi nae home karibu umsalimie.”
“Wewe Insider na Iryn anajua hili? Maana siamini kama anajua hili.”
“Yeah anajua kwani kuna tatizo?, mimi na Iryn tunahistoria ndefu sana suala la kupendana lilikuwa ni la muda tu.”
“Upo vizuri, kama Iryn karidhia kwa hili nakupa salute.”
“Kama wewe ulivyoridhia na ukanivulia chupi kipindi kile, acha kumpa sifa Iryn hata wewe unaweza jisifia.”
“Insider that time ulinikuta nina hasira za kuachana na mtu wangu lasivyo usingeweza kunigusa.”
“Sawa haina shida tufanye umeshinda.”
Mchana tulitoka team nzima ya Masaki kwenda kupata lunch ya pamoja na tulikwenda Moyo kitchen. Baada ya kuwasili kila mmoja aliagiza chakula anachokitaka maana ilikuwa ni offa kutoka kwa bossy Iryn. Wakati tuko pale mimi nilikuwa napiga sana story na Asmah na hata sikujali kama kuna Iryn pale. Baada ya lunch zilipigwa picha nyingi sana kama ukumbusho na kila mmoja maeneo haya alionekana kuwa na furaha sana.
Iryn aliwaaga na mimi nilitangulia kwenda kumsumbiri kwenye gari na kwa mbali nilimwona akiwa ameongozana wakiongea na Asmah. Waliongea kwa muda mrefu sana kama dakika 15 ndo kuja kwa gari na tukaondoka maeneo yale, lakini alinambia tutapitia kwanza Posta Johari Rortana hotel kuna mtu ana appointment naye.
Baada ya kuwasili pale hotelini alipiga simu kutoa taarifa kafika na akanambia nimpe kampani mpaka restauranti ili akaonane na uyo mtu. Pindi tunatoka parking sikutaka kumuuliza uyo mtu ni nani? Na wana agenda gani? japo nilitambua ni mwanaume anayekwenda kukutana naye.
Tulimkuta jamaa akimsubiri Iryn pale restaurant na mimi niliamua kukaa side nyingine ili niwape uhuru wa kuongea. Kwa macho ya haraka jamaa alionekana kuwa ni foreigner na walionekana kuwa serious sana kwenye maongezi yao. Ni maongezi yaliyokwenda kama nusu saa na wakaagana ndo sisi kuondoka maeneo yale, lakini kwa upande wangu sikutaka kabisa kuuliza na nilijisemea kama kuna umuhimu anatambia.
Mida ya saa 11 jioni tulikuwa tunawasili pale JNIA Terminal 3, of course tulikuwa tumewahi na tulikaa pale BAO cafe tukiendelea na maongezi. Kwa upande wake alinisisitiza sana suala la kufuatilia Passport mapema kwaajili ya safari ya kwenda Ethiopia.
“Darling make sure unafatilia Passport kwaajili ya safari, ni muda mrefu tunaongea kuhusu hili lakini hujawahi kuwa serious.”
“Mummy hili ondoa wasiwasi kesho nitaanza mchakato ndani ya siku 3 nitakuwa na passport tayari,”
Iryn baada ya kusikia hivi alifurahi sana,
“You know I love you? Wish huyu mtoto awe wa kike ili ufurahi.”
“Kwani ushajua ni jinsi gani?”
“No hapana sijataka kabisa kufuatilia hili najua unataka iwe surprise.”
“Yeah, wewe kama utaangalia sawa but mimi sitaki kujua mpaka ukijifungua.”
Baada ya nusu saa ilitakiwa acheck-in na tulifanya kuagana pale, nilimkiss mdomoni na nikampa kampani mpaka anakwenda dirishani. Wakati naondoka alinambia nimuage mwanangu na nikamshika tumbo lake pale bila hata aibu na akanikisi mdomoni. Si unajua tena pale watu ni wengi na ukizingati Iryn ni mrembo so macho yalikuwa mengi sana yakimulika na mimi ndo kuondoka.
Pale parking niliwaza kuhusu Iryn na niliona tayari kashakuwa kama mke kwangu hivyo napaswa kumuheshimu ukizingatia ana damu yangu. Niliendelea kuwaza pale na niliona Iryn ananipenda sana tena ile serious ni mimi tu ambaye siko serious na bado ninazingua.
Muda ulikuwa unasoma 12 kasoro za jioni hivyo nilifikiri kabla ya kurudi home nifanye kumpigia simu wife ili nicomfirm kama yupo au laah!. Nilikuwa nimekaa muda mrefu na Iryn hivyo kuna kaarufu kake alikuwa kaniambukiza tayari ambayo ingeleta shida kwa wife. Baada ya kuwasiliana naye alinambia yuko chuo na ana lecture mpaka saa 2 usiku, hivyo zilikuwa ni habari njema sana kwangu na mimi niliondoka pale JNIA.
Barabarani nilikuwa spidi kali sana na baada ya kurudi home nilimpa dada nguo azifue na mimi nilikwenda kuoga. Baada ya kuoga niliona ni bora nikaondoka kwenda kuangalia world cup na kulikuwa na match ya Argentina na Poland.
Nilimuaga dada na nikaondoka home na nilikwenda Makonde EB25 kwenda kucheki ile game. Baada ya lisaa simu yangu ilianza kuita na alikuwa ni mama J akipiga, kama kawaida yake alilalamika kwanini nimerudi na kuondoka?. Na nilimwambia naangalia mpira na sitachelewa kurudi, lakini alisema na yeye anakuja niliko tuangalie mpira wote.
Baada ya dakika 20 alikuwa kafika eneo la tukio na alikuwa kavaa jazz yake ya Argentina ambayo nilimpa zawadi na nilifurahi sana kuona amevaa ile jazz.
WIFE: “Umerudi tu! nakuanza kuzurura, mbona una mambo mengi sana hivi.”
MIMI: “Relax mke wangu kwanza nimefurahi kuona umevaa hio jazz nadhani ushajua kinachoendelea.”
WIFE: “Shenzi kweli wewe nimeona kila mtu chuo anavaa jazz na mimi nikaikumbuka yangu.”
MIMI: “Hata hivyo imekupendeza sana inakufanya uonekane mrembo.”
WIFE: “Baba J naagiza wine nimemiss ni muda sijanywa hivi vitu.”
MIMI: “Thubutu! Unataka mwanangu akanyonye mapombe yako?”
WIFE: “Wine haina shida afu Junior kashakua yule, kwanza hanaga hata habari na mimi sikuhizi. Habari za huko Dodoma kwa ujumla, umefanikisha?”
MIMI: “Yeah nimefanikisha tayari kila kitu kipo sawa now, kuna documents by next month zitakuwa zimetoka tayari.”
WIFE: “Pia, niliongea na mama akanambia anakuja jumamosi hii.”
MIMI: “Tutakwenda mpokea wote na kama kuna vitu haviko sawa utanambia mapema.”
WIFE: “Bossy wako kaja afu wewe haupo mpaka anaondoka hujarudi.”
MIMI: “Tatizo alikuja bila taarifa na nisingeweza kurudi wakati kule mambo yalikuwa bado hayajakamilika, anasemaje?”
WIFE: “Alikuja kutusalimia tu story zingine wewe hizikuhusu.”
MIMI: “Ooh sound great, vipi ni mjamzito?”
WIFE: “Hahahaha! Baba J acha ujinga sikuile zilikuwa ni hasira tu.”
MIMI: “Unaona jinsi ambavyo huwa unanikosea? ila uzuri una mwanaume ambaye ni don’t mind.”
WIFE: “Ukiona hivyo ujue nakupenda ndomana na this time nikwambie nikijua una kamchepuko nitadeal nako parpendicular bila wewe kujua.”
MIMI: “Wine hio naona ishaanza mapema kukuchanganya tayari.”
WIFE: “Ni akili zangu kabisa nadhani unanifahamu na unazijua vizuri akili zangu.”
Baada ya game kuisha hatukukaa sana tukaondoka kurudi home na wife ndo alikuwa wakwanza kushuka kwa gari. Muda huu niliikumbuka ile voice ambayo nilikuwa nimerecord kule hotelini, hivyo niliona ndo muda sahihi wa kuisikiliza.
ITAENDELEA
Very sorry for that km umeona Kuna shida...ukichangia tu mawazo yako bila kutukana wanawake ujumbe wako hautofika?
Mungu akubariki kwa kweli, you are a good story teller. Ingekuwa mamtoni, ungetengeneza movie ambayo ungeingiza pesa ndefu. Story yako haichoshi kuifuatilia.SEASON 02

sema awe anatoa pakage ya kutosha anakaa sana bana mpaka utamu unakata tunassau tena kama vp awe anatoa epsode mbili kwa pamoja kisha wki mbili tena kulko kukaa muda mrefu kama tunasbr gunia la pesa au tunasbr nchi ya ahad babuMkuu INSIDER MAN hii simulizi ni moja ya kitu kinafanya nikiingia jf nipitie uzi huu kabla ya kufatilia vingine, hongera sna mkali
Mimi ameniharibu ma epsod zake,zimenifanya nisiwe na tamaa ya wanawake,labda nipate mrembo na awe na ukwasi,tofaut hapo wacha na mimi nibaki tu kwa mama Triple G&G wangu.Mkuu INSIDER MAN hii simulizi ni moja ya kitu kinafanya nikiingia jf nipitie uzi huu kabla ya kufatilia vingine, hongera sna mkali
INSIDER MANKwakweli insider tunakushukuru Kwa kuendelea kutushushia episodes,lakini Kasi Yako ya kushusha imekuwa ndogo sana. Mwanzo ulikuwa unatuma episodes mbili Kila baada ya wiki Moja lakini Kwa sasa Hilo jambo halipo.
Stori inakosa ladha inachukua mda mrefu mnooo