Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

acha hyo kaz tafut nyingne ili utajirike bosi
Hapo jamaa anaendesha gati ya gharama bila bugudha sasa sisi wa Serekale endesha uone kama hujafuatws utuambie umeitoa wapi na kwa fesha zipi!!!
Ndiyo ujue serikali haiitaji mfanyakazi atajirike kwa namna yeyote ileha hyo
 
Hahahaa hii Audi ni unique sana hapa Dar nafikiri ipo moja tu. Nyingi ni old model hapa mjini
Kuna sehemu nimekuona Insider, prove me wrong kama sio wewe kwanza kimo chako cha kati sio mrefu wala mfupi upo kawaida, ni mweupe kiasi chake. Na ulikuwa unatumia simu ya Samsung model sikujua ila kama sio Note something basi ni S series ambazo zina Pen
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ungemuuliza huyo dada cacutee sjui mana anaweza akawa mke wake wa tatu mana kajpeleka mweyewe
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ngoja nimuulize eti cacutee hizo descriptions hapo juu ni yeye bwana INSIDER MAN ????
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkaka flani msafi sana
HB flan
Mwenye pozi zake za kutosha.
Kifupi mwanamke wa kupangua gia zake labda awe ameokoka ki kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…