Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I second youmkubwa tupe shavu vjana wako tuishi vyema nas
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lete maepisod hayoKuanzia next week tutaanza kwenda mchakachaka. Ndo kwanza mambo bado huko mbele ndo balaa, tuombe uzima tu.
Kwa hiyo amepatiaHahahaa hii Audi ni unique sana hapa Dar nafikiri ipo moja tu. Nyingi ni old model hapa mjini
Hapo jamaa anaendesha gati ya gharama bila bugudha sasa sisi wa Serekale endesha uone kama hujafuatws utuambie umeitoa wapi na kwa fesha zipi!!!Hahahaa hii Audi ni unique sana hapa Dar nafikiri ipo moja tu. Nyingi ni old model hapa mjini
Hapo jamaa anaendesha gati ya gharama bila bugudha sasa sisi wa Serekale endesha uone kama hujafuatws utuambie umeitoa wapi na kwa fesha zipi!!!
Ndiyo ujue serikali haiitaji mfanyakazi atajirike kwa namna yeyote ileha hyo
Kuna sehemu nimekuona Insider, prove me wrong kama sio wewe kwanza kimo chako cha kati sio mrefu wala mfupi upo kawaida, ni mweupe kiasi chake. Na ulikuwa unatumia simu ya Samsung model sikujua ila kama sio Note something basi ni S series ambazo zina PenHahahaa hii Audi ni unique sana hapa Dar nafikiri ipo moja tu. Nyingi ni old model hapa mjini
😂😂😂😂Kuna sehemu nimekuona Insider, prove me wrong kama sio wewe kwanza kimo chako cha kati sio mrefu wala mfupi upo kawaida, ni mweupe kiasi chake. Na ulikuwa unatumia simu ya Samsung model sikujua ila kama sio Note something basi ni S series ambazo zina Pen
Ngoja nione kama atasema sio yeye 😂😂😂😂😂😂😂😂
ungemuuliza huyo dada cacutee sjui mana anaweza akawa mke wake wa tatu mana kajpeleka mweyeweKuna sehemu nimekuona Insider, prove me wrong kama sio wewe kwanza kimo chako cha kati sio mrefu wala mfupi upo kawaida, ni mweupe kiasi chake. Na ulikuwa unatumia simu ya Samsung model sikujua ila kama sio Note something basi ni S series ambazo zina Pen
😂😂😂😂Ngoja nione kama atasema sio yeye 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 ngoja nimuulize eti cacutee hizo descriptions hapo juu ni yeye bwana INSIDER MAN ????ungemuuliza huyo dada cacutee sjui mana anaweza akawa mke wake wa tatu mana kajpeleka mweyewe
Haha wakikutag ba miki nitagJamani naomba muwe mnanitag 😑
Acha wenge we jobless. Unafikiri kila mtu ni jobless kama wewe akae aandike kila saa?😀😃😄😁😆Bilabila
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ngoja nimuulize eti cacutee hizo descriptions hapo juu ni yeye bwana INSIDER MAN ????