Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkaka flani msafi sana
HB flan
Mwenye pozi zake za kutosha.
Kifupi mwanamke wa kupangua gia zake labda awe ameokoka ki kweli kweli
So kutokana na descriptions hapo juu niliyemwona ni yeye insider au sio yeye??
 
Kaka sijawahi tumia Samsung katika history ya maisha yangu. Kama unataka kuniona uwe unatega NBAA mostly nakwenda pale kujisomea.
 
Kaka sijawahi tumia Samsung katika history ya maisha yangu. Kama unataka kuniona uwe unatega NBAA mostly nakwenda pale kujisomea.
Basi nilikuwa addicted sana na story yako mpaka nikakuimagine in real life, tunasubiri mwendelezo wa story muda wore jicho lipo humu.
 
Arosto imeanza mapema hata kabla ya jumapili. Insider andaa Sega kubwa la asali. Nina hamu kubwa ya kusoma episode atakayozagamuliwa Mary nisubiri Kwa hamu sana.
 
Acheni shobo, mtakuja kutapeliwa na kubakwa kisa hizi story za uongo humu JF

Acheni shobo, mtakuja kutapeliwa na kubakwa kisa hizi story za uongo humu JF.
Njoo nikushobokee wewe basi uridhike, unadhani kila mtu ni mjinga mjinga kama uliowazoea? Hii story naisoma for fun na the same kwenye kucoment so unadhani waliosema walimuona Irene ni kweli au wanachangamsha Uzi tuu??? Same to me just kuchangamsha uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…