Kesho mapema sana baada ya kutoka church tutaendelea. Ungekuwa wewe ndo Insider ungekubali kwenda Ethiopia??
Leo ni siku ya kushiriki meza ya Bwana,ibada inakuwa ndefuInsider bado yuko kanisani ibada ya leo imekuwa ndefu sana
Itabidi akitoka atueleze muujiza aliopokea siku ya leoLeo ni siku ya kushiriki meza ya Bwana,ibada inakuwa ndefu
😂😂😂😂cacutee, naona umeamua kuwaita na wengine mule raha pamoja na insider man 🤣 maana si kwa wivu huooooo
Imefika kaka ni mwendo wa burudaniMtandao leo unazingua nimepost muda sana kumbe haijafika 🙌🏿
Sasa kiingozi unatoa ushauri kwa vitu ambavyo vishatokea🤦Kisirani Cha mimba, mvumilie tuu. Mimba huwafanya kuwa na maamuzi yasiyotabirika.
Mimi ningeenda tu. Uoga wako tu. Sioni tatizo lolote. Kwani utaozwa kwa lazima hapo hapo?. La pili Iryn kichwa sana hawezi Kukubali kukupeleka mahala kwa wewe kupata matatizo. Vinginevyo alikuwa na uamuzi wa kwenda tu peke yako kama kutakuwa na shida yoyoteKesho mapema sana baada ya kutoka church tutaendelea. Ungekuwa wewe ndo Insider ungekubali kwenda Ethiopia??
Bora hata wewe uliye shukuru, tukutane J5.INSIDER MAN Asante kwa kutukumbuka