Upo nyumba sanaKumbe inaendelea hamsemi
Sio nyumba tu horofaniUpo nyumba sana
Eheheheh...kuna vikojoleo bwana ni vibaya kama kisigino chenye magaga a.k.a makegeteHizi ni friction stories tu usijishushe heshima na utu wako kihivyo. Lengo la kusema ulienda kukojoa ni nini? Weka picha basi tuone unavyokojoa. Pathetic
Unitag next moveJambo nililiona saa 10 usiku nkalimeza fastaaa nkarud kulala. Asante kwa wito
Mh sina uhakika πKisirani flan hivi za kisister do kama Mary na Iryn
PowaUnitag next move
Hivi story ya BM X6 bado inaendelea Annie?He is quite
Friction au cyoHizi ni friction stories tu usijishushe heshima na utu wako kihivyo. Lengo la kusema ulienda kukojoa ni nini? Weka picha basi tuone unavyokojoa. Pathetic
Ona sasa anyway punguza makasiliko furahia maisha
Au cyo au SIO.Friction au cyo
Njoo inbox cacuteeππΌJamaniii kinge ni Kigumu
Wengine tubaki na kiswahili kinatutuosha. Eti friction badala ya fiction, ππππππππ¦ΉββοΈ
Hivi Mkuu Kiuhalisia ww ni KaCute kweli?Jamaniii kinge ni Kigumu
Wengine tubaki na kiswahili kinatutuosha. Eti friction badala ya fiction, ππππππππ¦ΉββοΈ
Hapana ni ka ugly πΈHivi Mkuu Kiuhalisia ww ni KaCute kweli?
πDahHapana ni ka ugly πΈ
ππππDah
Friction storyJamaniii kinge ni Kigumu
Wengine tubaki na kiswahili kinatutosha. Eti friction badala ya fiction, ππππππππ¦ΉββοΈ
Arsenal jumapili tukibeba ubingwa Na ww fanya hisani kama Insider Tupia picha yakoπππ