Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,861
- 15,836
Wote tupo sawa sasa tumebakiwa na alosto ya episode 11Sio nyumba tu horofani
Wote tupo sawa sasa tumebakiwa na alosto ya episode 11Sio nyumba tu horofani
😀 😀 😀 Tajiri Mwehu mchana huu kakaLeo Arsenal tunabeba Ubingwa na ndio Siku mtamuona Irene!! Binti wa kihabesh
Tumekufa kiume[emoji123]INSIDER MAN Arsenal katwaa ubingwa! Live up to your promise please!
😀Kama kimeumana kuna story kweli Leo??
MAN CITY ndo kachukua ubingwa wewe INSIDER MAN tulia tu nafasi ya pili siyo mbaya kwako, ni swala la portfolio tu, yako Bado haijashiba.INSIDER MAN Arsenal katwaa ubingwa! Live up to your promise please!
Story ya kimla mhabeshi au kuendesha UBA?Wakuu, hii story ni Bonge Moja la tamthilia....Nafikiria TU! ikiwa INSIDER MAN akiiuza, itafanya poa Sana, si Bongo TU, hata nje.
Wakuu, mnadhani nchi gani, wakipewa dhamana wanaweza itendea haki Kati ya Waturuki, Waphilipino, Korean, Chinese, au USA?
DATAZ, Mhabeshi naye ni sehemu ya story...hivyo naongelea story mzimaStory ya kimla mhabeshi au kuendesha UBA?
Wala hujakosea nami Wala sijapinga mkuu, yamkini hujanielewa......nazani bongo pia tunafaaa emb thamn chako babu
Hatujafa... ajali ndogo saaana ... We are coming for it next season 💪💪 COYGTumekufa kiume[emoji123]
Kwann sasa wakati hii story ni friction tu 😂Kama kimeumana itakuwa ngumu Sana kuletewa story
Pole INSIDER MAN
Take heart ❤
(Nimeamua nijipendekeze kabla hamjaanza kutoa povu)
Friction kivipi si tulikubaliana ni fiction. Sasa utasemaje fictitious events?Kwann sasa wakati hii story ni friction tu 😂
Nilikuwa naenda sawa na bwana mdogo mmoja mkorofi halafu hawezi kutofautisha kati ya fiction na friction mkuu..... owise nashukuru kunifundisha mpira mpaka lahaja Obrigado!Friction kivipi si tulikubaliana ni fiction. Sasa utasemaje fictitious events?
Mpira niwafundishe hadi tahajia pia?
oky am sorry.Nilikuwa naenda sawa na bwana mdogo mmoja mkorofi halafu hawezi kutofautisha kati ya fiction na friction mkuu..... owise nashukuru kunifundisha mpira mpaka lahaja Obrigado!