Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Story ya kimla mhabeshi au kuendesha UBA?
 
Friction kivipi si tulikubaliana ni fiction. Sasa utasemaje fictitious events?
Mpira niwafundishe hadi tahajia pia?
Nilikuwa naenda sawa na bwana mdogo mmoja mkorofi halafu hawezi kutofautisha kati ya fiction na friction mkuu..... owise nashukuru kunifundisha mpira mpaka lahaja Obrigado!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…