Story ya kimla mhabeshi au kuendesha UBA?Wakuu, hii story ni Bonge Moja la tamthilia....Nafikiria TU! ikiwa INSIDER MAN akiiuza, itafanya poa Sana, si Bongo TU, hata nje.
Wakuu, mnadhani nchi gani, wakipewa dhamana wanaweza itendea haki Kati ya Waturuki, Waphilipino, Korean, Chinese, au USA?