Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Asmah utakuja gundua alikufanyia dawa ili umpende Kila ukimwona
50k nitaitoa kama ifuatavyo, anitabirie nini kiliendelea na Asmah. Episode ya 14 nishaandika tayari na nitaipost kesho, nasubiri watabiri.
50k nitaitoa kama ifuatavyo, anitabirie nini kiliendelea na Asmah. Episode ya 14 nishaandika tayari na nitaipost kesho, nasubiri watabiri.
Asma utakuja kujua alikufanyia dawa ili umpende Kila ukimwona
 
Kizoka utampa gari episode 14.
Zanzibar utaongozana na Sumaiya.
 
Una rafiki wa dadaako anafanya kazi airport!!! Ambae kipindi Cha nyuma alikusaidia kupata tiketi za kwenda Dodoma!
Kwanini hukuwaza kumtumia huyo kwenye swala la tiketi za Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…