Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ahadi aitimize yeye ni binadamu sio Muumbaji na je Kama amekufa ama unajua wewe ama Mimi tutakaokufa.
Future is uncertainty only Creator knows it.

Unataka utimiziwe ahadi.

Yaani raha inaliliwa, angekuwa anatoa mfano masomo yake kufundisha hesabu, account, ama masuala ya afya , ama masuala ya mental health kuwa social networks sio nzuri,usinywe soda,sukari , Ngano tumia mno tangawizi Kila siku usingelia Lia hapa kuwa ahadi utimiziwe.

Yaani huwa nashindwa why nature ilitupa ubongo unaopenda mambo yasiyo na manufaa ama faida kwetu Ila Mambo yenye mafanikio hatuyapendi


Hebu bana piga push up Kama mia moja ,fanya squart,split etc hapo ndani na ufanye workout,unywe maji mengi baadaye fanya meditation ukimaliza shukuru High power kwa kukuweka hai unapata bando,unayo smartphone,Kuna watu wamelazwa mwaka mzima hawajanyanyuka kitandani.
Give gratitude to our mother nature.

Tafuta kitabu hata cha compound effect ama atomic habits u some.

Haya ni mazuri Ila utayapuuzia subiria uletewe mtt wa kihabeshi ili na wewe utengeneze illusion ujione upo Naye ubongo uridhike


Pigia simu watu wako wa karibu uwaambie unawapenda mno na unawajali sana.


Give gratitude we only need words not things .


Everyone’s life is different — yet most people still utter one of four common phrases on their deathbeds, according to Pulitzer Prize-winning author and oncologist Siddhartha Mukherjee.

Each of the phrases offers an important lesson for leading a fulfilling and successful life, Mukherjee said during a commencement speech at the University of Pennsylvania last week. “Every person that I’ve met in this moment of transition wanted to make four offerings,” he added.


The phrases are:

I want to tell you that I love you.
I want to tell you that I forgive you.
Would you tell me that you love me?
Would you give me your forgiveness.
 
n kwel unachosema lakini unajua saikolojia wewe na umesoma na unatambua ilo suala
 
Bro unanichanganyia mafaili aisee.. tunaongelea kuhusu ucheleweshaji wa story wewe unanichanganyia vitu visivyohusika hapa..
Sasa ayo unayonieleza ndo yana manufaa kwanini uko hapa unafatilia huu uzi?
Kila mtu ana priorities zake aisee..
 
Bro unanichanganyia mafaili aisee.. tunaongelea kuhusu ucheleweshaji wa story wewe unanichanganyia vitu visivyohusika hapa..
Sasa ayo unayonieleza ndo yana manufaa kwanini uko hapa unafatilia huu uzi?
Kila mtu ana priorities zake aisee..
Your brain is pleasure seeking machine and repel pain even if the pain is of the truth.
That's what our mother nature had given us.
Let us thank it
 
Nilikua nje ya jamii forum mda mrefu kama miaka miwili, nimerud juz nakutana na hii stor, nikupongeze sana kwa uandishi mzuri, stori ya maisha yako ilikua kama movie unasoma huchoki. Naamini sasa Irene ashajifungua na ashamaliza masters yake. Hongera sana mkuu.
 
Wafatiliaji waache uraibu, mwandishi wa story halipwi na mtu humu kwa hiari yake ataleta muendelezo. Suala la ahadi sio issue mana kibinadamu kuna mambo mengi yanaweza vuruga mipango ya mtu.
 
Ni ajabu sana kuona mwanaume analia lia anaomba aandikiwe story. Kweli kuna watu hawana kazi ya kufanya

Nimegundua wale wanaoponda hii story ndio wanaosumbua ziaidi. Hili ni tatizo la akili, unaona story ya kutunga huikubali na hutaki kuendelea na hamsini zako. TATIZO

Duniani kuna novels, story za kutosha maisha mengine yanaendelea

Nashauri huu uzi ufungwe Leo na story istishwe watu wafanye kazi waache kufatilia umbea. Sehemu ya story iliyobaki ni umbea wa maisha ya watu. Kufuatilia nani aloenda ZNB na kupewa gari ni umbea umbea. Story imeisha.
 
Acha hizo meku
 
Wewe unaetaka story ifungwe ndio unatakiwa upotee kwenye huu ili ku justify maneno yako.. tena ikiwezekana baada ya kusoma hii comment uondoke humu ili utuoneshe msimamo wako.. otherwise huna tofauti bumunda
 
Wewe unaetaka story ifungwe ndio unatakiwa upotee kwenye huu ili ku justify maneno yako.. tena ikiwezekana baada ya kusoma hii comment uondoke humu ili utuoneshe msimamo wako.. otherwise huna tofauti bumunda
Bumunda lina shida gani mzee?
 
Ila watuu!
Subra kidogo tuu watu povu mia7.
Af kwan ni deni? Umelipia we unaetoa povu?

Job true true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…