Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Na wanazingua kwelikweli. Nimeshangaa ulivyowasifia uber..
Nili uninstall hao mbweha zamani huko, sababu na visingizio kibao. Nikawapenda sana bolt.. Aisee siku hizi sijui wamepatwa na nini, kila gari utakayoita ni chafu, ni wachafu, hayo ya kuulizana unaenda wapi sijui boss niongezee elfu 2, ujinga mtupu.
Uber na bolt walivyositisha huduma nilikuwa natumia inDrive, atleast hawa sikukutana na changamoto.

Tuna shida sana kwenye kutoa huduma. Kuanzia taasisi za serikali hadi private.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…