Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mimi kama mwizi nimeumia sana
Mimi kama mwizi nimeumia sana kuona mwizi mwenzangu unaibiwa 😔
 
Huyu bwana ni mhuni kweli kweli. Unajebga mahusiano then ukiona anakolea unamuacha... kama ni kweli wewe utakuws kuni huko jehanam mkuu.
 
Hali ya kugundua usaliti kupitia simu inatafunaga maini vibaya mno.hata kama na wewe ni msaliti huwa inaduwaza sana. I feel you... imenikumbusha mbali sana naona kama jana vile kila nikikumbuka...
Ahahah umenikumbusha 2012, napitia cm ya wife (enzi hizo tu date) kichuo chuo, nakuta mwamba ana slide tu inbox. Dah niliumia sana, sikumawambia kitu muda ile..
Ila toka siku hiyo siku hiyo, sijawah kumuamini tena mpaka kesho.
Japo nilimuoa na tunaish mpaka sasa fresh tu, ila aaahhh ni vile tu am a real man. Na pale ndipo nikajijua kwel mimi mwanaume licha ya kwamba i was just 22 years.
I never panicked, i never overeacted.
Nikazama mpesa kujua jina wakat huo yeye yuko busy rum kwake (chuo) anajiandaa kwa safar turud Dar.

Alipomaliza nikamuuliza tu "who is ....".
Kilio kikaanza..

Hapo ndio kwa mara ya kwanza nikaanza kula watoto nje..

Sikuwah tena kumuamini mpaka sasa.
 
Kuwaamini hao ni kosa kubwa mno hata kama anakuonyesha upendo na heshima, wana dark side zao hao zinatisha.
 
Bado naamini huyo ni spy wa Irene na sio mpenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…