Ahahahausinitishe bana wewe mchaga
Cacutee nakupenda siwezi kuishi bila weweThanks insider
Hadi umefikia umri wa kuzurura mitandaoni umeishije bila Mimi?Cacutee nakupenda siwezi kuishi bila wewe
Wewe ni mwanamke wa maisha yangu I love you babyHadi umefikia umri wa kuzurura mitandaoni umeishije bila Mimi?
Rosicky & @lemme say this, kila mmoja anasema ni mshindi nani wa kwanza kupatia kati yenu?
Soon,Tuletee episode nyengine Insider Man[emoji108]
Muendelezo. MzeyaAlez von lumor ndo mshindi kwa upande wa Kizoka ndo wakwanza kupatia.
Kuhusu kwenda Znz na Hilda kuna jamaa alishinda alikuwa wakwanza kupatia, tulishamalizana.
Kuhusu Asmah hakuna aliyepatia kama yupo screenshot utabiri wako, tumalizane mapema
Bado JeniScene ya Mary niliisubiri tangu mwaka jana
Alaf ww unapenda kuniita kwenye ishu za ajabu. Sipendi
Cha ajabu nini duniani hapa?Alaf ww unapenda kuniita kwenye ishu za ajabu. Sipendi