Zeddicus zul Zorander
Senior Member
- Jun 11, 2016
- 165
- 249
Mmh bwana insider you dont want peace..you want problems alwayz hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badiri jina mdogoangu. Hayo majina ya cute,love,pipi pipi,tamu, n.k watu wanatafsiri unajipitisha (nimeongea sio kwa ubaya) tunasaidiana. Japo wewe ni smartAlaf ww unapenda kuniita kwenye ishu za ajabu. Sipendi
KumbeeBadiri jina mdogoangu. Hayo majina ya cute,love,pipi pipi,tamu, n.k watu wanatafsiri unajipitisha (nimeongea sio kwa ubaya) tunasaidiana. Japo wewe ni smart
Ndio hivyo. Lakini unajua nini? Endelea kukomaa naloKumbee
Sasa kumbe ni tafsiri zenuu
Me tafsiri yangu sio hiyo
SibadiliiNdio hivyo. Lakini unajua nini? Endelea kukomaa nalo
baridiAlez von lumor ndo mshindi kwa upande wa Kizoka ndo wakwanza kupatia.
Kuhusu kwenda Znz na Hilda kuna jamaa alishinda alikuwa wakwanza kupatia, tulishamalizana.
Kuhusu Asmah hakuna aliyepatia kama yupo screenshot utabiri wako, tumalizane mapema
Kubali tu mkuubaridi
hahaaaa mkuu nishakubali mbonaKubali tu mkuu
Tatizo ukimuona tu lazima ugune kuwa siyo size yako... wa size yako ni hao unaokutana nao kwenye mishe zako ambao hukutani nao siyo wako kaka. Ndege wanaofanana huruka pamojasasa INSIDER MAN si unipee hata connection kwa marry mm nioe au hilda yaaan daah.
duuuuhhTatizo ukimuona tu lazima ugune kuwa siyo size yako... wa size yako ni hao unaokutana nao kwenye mishe zako ambao hukutani nao siyo wako kaka. Ndege wanaofanana huruka pamoja
Kule telegram majina ya hivyo ni code watu wa KGB wanaelewaKumbee
Sasa kumbe ni tafsiri zenuu
Me tafsiri yangu sio hiyo
Kaa utulie mimba ya iryn ndo kwanza ina miezi minne sasa.We jamaa mbona stori yako ndefu sana?